msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa wazoefu wa masuala ya elimu

    Naombeni msaada wa kupewa ushauri Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9 Matokeo ya masomo yake MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B Yeye...
  3. JamiiForums Tanzania KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME

    KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME Mda huu ngoja nikupe mbinu rahisi ya kuvikojo*** vitoto vya 2000 kirahisi kabisaa😅😅😅😅 Kitunguu saumu kina ALLICIN, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    Ni platform gani naweza sikiza mziki nikiwa sina bundles yaaan nikishaidailod it itwangwe tuu mziki usiku kucha isitumiee bundles lakin
  5. JamiiForums Tanzania Msaada..

    Habari ndg wana JF naomba kufahamu uendeshaji wa chombo cha moto pikipiki bilaa kuvaa koti kwa muda mrefu kuna mazara gani kiafyaa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa Lsnp Unlocker software

    Wakuu poleni na majukumu. Naomba msaada wa Lsnp Unlocker software, kuna simu ya Vivo y71 ipo kwenye system repair mode nataka kui fix. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
  7. JamiiForums Tanzania MSAADA WA USHAURI WA BIASHARA BAADA YA KIFO CHA MMILIKI

    Habari wana jf Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa ushuru na TAX CLEARANCE KILA MWAKA NA MAKADIRIO YA TRA pia baba alikuwa mzabuni katika shule...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kufuta email zilizojaa

    Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena email kuanzia tarehe 1 mwezi wa 2 msaada please
  9. JamiiForums Tanzania Trump amegundua kiasi cha $50million kilitaka kutumika kutoa msaada wa Condoms huko Gaza.

    Mind you, hamas imekuwa ikitumia kondomu zilizojazwa heliamu kuelekeza mabomu kupitia mpaka wa Israel ili kufanya madhara.
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded PSSSF Dodoma tofautisheni msaada na Haki ya Mtu

    Wanajukwaa habari za muda huu. Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF . Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na hata ukishakamilisha wanafanya malipo wanavyotaka. Hivi inakuwaje mtu anajaza taarifa zinachukua...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu

    Mimi ni kijana wa kiume nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu tangu lianze kuvimba naombeni ushauri nifanyeje na matibabu nayapataje
  12. W

    JamiiForums Tanzania Huruma Katika Vita: Msaada wa Rwanda kwa Wanajeshi wa Kongo

    Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia. Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa dawa za kutibu ugonjwa wa Scabbies

    Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu. Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa inanifanya nikose amani, ngozi ina upele na inawasha sana. Naombeni msaada wetu wa dawa mzuri za...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupandisha video za youtube hapa Jf

    Habarini za wakati wakuu. Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia. Amani ya bwana iwe nanyi. mshamba_hachekwi Mshana Jr
  15. JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  17. JamiiForums Tanzania Namna nilivyopambana na Kampuni Binafsi ya Bima Ya Afya na kuwapiga Knock Out kwa msaada wa Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO)

    Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao. Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Diagnosis kwenye Magari. Msaada tutani

    Hallo wana JF. Najua hapa wamejaa wataalam wa Magari pia. Mkoko wangu Toyota Allex 2004 Model, ilianza kuwaka taa(Check engine) siku Moja baada ya Kufunga Android radio. Kama kawaida. Nikalazimika kuwaona madokta. Wakaifanyia Diagnosis ika display fault code P0171. Code ambayo mara nyingi...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kupata App bora ndani ya App Store zinazopatikana pia Playstore

    Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa. Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini, Watu wenye IQ kubwa ushindwa kueleweka kwenye kwenye jamii yenye IQ ndogo na mwisho wa siku utumika kama msaada mbeleni?

    Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele. Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa. Historia inasema kulikuwa na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…