mr blue

 1. MNYWABUJU

  Dully Sykes-DHAHABU /Joselini v/s mr blue

  habali wanajukwaa, twende katika mada, Katika nyimbo ya Dhahabu ya dully Sykes ambayo aliwashilikisha wakali wawili @joselini na @mrblue ,ambao kipindi iko kulikuwa na tarifa walikuwa awahivi chungu kimoja ,je ni nani ALIMFUNIKA mwenzake? asanten
 2. bahati93

  Nakemea mavazi ya kinazi aliyovaa Mr Blue kwenye video ya Mawe

  Habari ya asubuhi wanajamii. Kuna mambo mengi sana ya kuiga hapa duniani lakini kuna mengine siyo ya kuiga kabisa kama jambo ambalo amefanya Mr Blue kuvaa mavazi ya kinazi kwenye video ya music inayokwenda kwa jina MAWE akiwa kashirikishwa yeye pamoja na RayVanny na msanii wa kitaa ambaye...
 3. I

  Mawe, ngoma ya Nyandu Tozzy ft Rayvanny & Mr Blue

  Hi ngoma nimeikubali ile mbaya imewakutanisha wasanii wakali na kimetoka kitu kikali. Rayvanny kapiga corus nzuri as usual, Nyandu Tozzy katupia mistari kutu alafu akamaliza mtu mbaya Mr Blue. Ngoma Kali kuanzia audio mpaka video. Big up to them!
Top Bottom