mpya

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kigeni wafanya shughuli za kushuhudia mwaka mpya wa jadi wa Kichina

    Wanafunzi wa kigeni kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Zhejiang walifanya shughuli za kushuhudia ya mwaka mpya wa jadi wa kichina ili kupata uzoefu wa desturi za China na kuona uzuri wa utamaduni wa jadi wa China.
  2. JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mwendokasi

    Mungu akipenda, tutaoiona kesho huenda hizi zikawa nauli mpya.
  3. JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha mchezaji mpya leo usiku

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' ametuma ujumbe kwa mashabiki wa timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii akiandika; "Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi kwelikweli," Simba itatangaza mchezaji mwingine mpya leo saa 5 usiku zikisalia saa chache kabla ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mwendokasi, Teksi Mtandao hizi hapa

    Nauli mpya za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu Januari 16, 2023 lakini nauli ya wanafunzi itabaki ileile ya Sh200. Hatua hiyo inakuja baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuridhia maombi yaliyowasilishwa katika mkutano uliofanyika Januari 3, 2023...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kuelekea Jan 25 tunayo ya kujifunza kutokea Gambia

    Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi. Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan 25 unapaswa kuonekana nI mbaraka kamili kutokea kwa Mola na kwa hakika na aje na wenzake. Mama...
  6. JamiiForums Tanzania Kipi ni bora? Tv za mtumba (kutoka zanzibari) au tv mpya ya dukani?

    Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/= At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/= Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

    Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia. Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mitihani mikuu mitano kwa gavana mpya wa BOT – Emmanuel Tutuba

    Kwanza kabisa, Tanzania tumekuwa tukipata magavana wa benki kuu ambao walibarikiwa kuwa na taaluma nzuri kwenye masuala ya kiuchumi, na pia upande wa sheria kwa kumuangalia Prof Luoga ambaye amemaliza muda wake. Hawa magavana ni watu walikuwa very intelligent, lakini pamoja na kuwa ‘very...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa linasubiri serikali mpya aliyoahidi Rais Samia

    Mwezi mmoja umepita toka Rais aliposema kwamba anataka kufanya mabadiliko - labda mabadiliko makubwa katika Serikali yake. Nadhani watu wote wanalitazama hili jambo kwa mtazamo chanya ambapo wanatumaini litakuwa na lengo la kuboresha kazi.
  10. JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa shule mpya ya sekondari ya sekouture - jimbo la Singida kaskazini

    UFUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA SEKOUTURE - JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI UGUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI, MBUNGE IGHONDO ATAJWA KINARA WA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA ELIMU JIMBONI. Mnamo mwezi Januari 09 2022 Wananchi wa Kijiji cha Sekouture wakiongozwa na Viongozi wao Walifanya hafla ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China kuboresha hatua za kuingia na kutoka kutaleta msukumo mpya kwa biashara kati yake na Afrika

    Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali. Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
  12. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Tairi Adimu na Mpya za Pirelli/ iMove

    Tairi ni kama ifuatavyo: 2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18 2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18 Rim size ni inchi 18. Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi February 2022 na zimetembea chini ya kilomita 20. Ni mpya tuseme. Sababu ya kuuza ni kwamba mara baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Lucia Pande ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Mtendaji Red Cross Tanzania

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) chini ya Mwenyekiti wake David Kihenzile, imemteua Lucia Pande kuwa Katibu Mtendaji wa shirika hilo. Awali, Lucia alikua Makamu wa Rais wa shirika hilo. Taarifa iliyotolewa ya Januari 8, 2023 inasema kuwa uteuzi wa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM. Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Urais unachosha, ila ni mzuri. Rais Samia akituachia katiba mpya akastaafu 2025 itampa heshima yeye na kizazi chake kuliko kutuachia katiba baada 2025

    Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu 1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia. 2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kiburudisho cha mwaka mpya cha Tamthiliya ya Ukoloni wa Yesu

    ONYESHO DOGO KUTOKA TAMTHILYA INAYOITWA "WE ARE ONE", by Tanzanian British. It is just After THE AFRICAN KING ASKED THE MISSIONARY FROM BRITAIN,WHAT DOES SLAVE MEAN!? CHECK IT please.- MISSIONARY LEADER SLAVE is some one who you own and works for you, under all conditions, and obeys you in...
  17. JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya katiba mpya na changamoto zake

    Hivi ndugu mtanzania mwenzangu, umeona wapi baba kuruhusu taratibu ambazo zinamyima amani kwenye nyumba yake? Mimi kama mtanzania mtazamo wa katiba mpya n8 mzuri sanaa, lakini bado hauna nguvu. Kipindi tulichonacho sio cha kuleta mchakato huo ni mwakani hapo tunaingia uchanguzo mdogo ninani...
  18. JamiiForums Tanzania Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia katukumbusha kuwa Katiba Mpya ni dhana tu na mkachakato unapaswa kuwahusisha Watanzania wote

    Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya? Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na wakati na ndiyo nasema; Mimi nimemsoma mama mambo matatu (Na ngoja niandike kwa herufi kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…