mpya

  1. JamiiForums Tanzania Mawaziri wapimwe kwa kuleta sera mpya au kuhuisha sera

    Nipende kutoa wito, maoni na ushauri adhimu na wa kipekee. Kama nchi lazima tubuni mikakati mipya ya kukabiliana na maadui watatu muhimu waliotajwa hapo awali yaani umasikini, ujinga na maradhi. Bado kama Taifa hatujafikia kiwango tulichohitaji kufikia katika kukabiliana na maadui tajwa. Hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania CCM Wezesheni upatikanaji wa KATIBA mpya kumbukeni siku yaja nanyi mtakuwa chama cha upinzani

    Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM kuamini kwamba mtatawala milele huko ni kujidaganya mchana kweupe. Chini ya CCM tunaona namna nchi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

    Amekiri Freeman Mbowe kuwa wapo makamanda wengi waandamizi kwa sasa hawamwelewi. Msimamo wetu ulikuwa mwema sana kabla ya hoja ya maridhiano. Kwamba bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Hivi kweli uchaguzi utakuwaje wa haki bila ya kuwapo katiba mpya yenye tume huru ndani yake? Kwamba tumekubali...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi; 1. Inachukua muda mfupi kujenga. 2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote). 3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Aina mpya ya Dawa hatari za Kulevya yaingia mtaani

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi. Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya. Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Reli inakuja

    Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati".... Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR. Je, kama taifa, tuko tayari kwa sasa kuruhusu watu binafsi kumiliki treni ambazo zitatumia reli ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CWT mpya inawezekana

    Naombeni muongozo wakuu ni pitr njia zipi, Na ndoto kuwa siku moja nije kuwa rais wa chama Cha walimu Tanzania. Bado nipo chuo mwaka wa pili nasoma bachelor of science with education. Vipaumbele takapo kuwa rahisi wa CWT apo mwaka 2040 01. Pambana nyongeza za mishahara kwa walimu. 02. Huduma za...
  8. JamiiForums Tanzania Madaktari wa JamiiForums huu Ugonjwa Hatari na Mpya Mitandaoni unaitwaje?

    Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nini upya wa Katiba Mpya?

    Hili ni swali ambalo wananchi wanajiuliza ingawa sio kwa maneno hayo au muktasari kama lilivyo hapo juu. Wananchi wanajiuliza swali kwa maneno kama: je katiba mpya itaniletea chakula au itaondoa dhuluma, itanisadia kutumia rasilimali zangu vema? itathamini kura yangu na kuyafaa maisha yangu...
  10. JamiiForums Tanzania CDF General Mkunda naomba Interview ya Mazoezi yafuatayo itumike kwa Vijana watakaoomba Ajira zenu Mpya JWTZ

    Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa 1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda. 2...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

    Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu. Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi. Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
  12. JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa Danadana za Katiba Mpya

    Danadana za kupata KATIBA MPYA NA BORA zinaendelea, na kuendelea kutafuna fedha za umma kwa mabilioni. Maoni ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni...
  13. JamiiForums Tanzania Walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Nkomelo wakabidhiwa nyumba zao mpya

    Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya zkama sehemu ya fidia kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) linalotarajiwa kuanza ujenzi baadae mwaka huu. Nyumba hizo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Katiba hakuna anayelikataa. Si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa

    Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya. "Suala la katiba hakuna...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuhusu wabunge 19 wa viti maalumu tuiachie Mahakama, siwezi kusema neno

    Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke. Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani. Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti...
  16. S

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura ameshindwa kudhibiti ajali barabarani, asaidiwe!

    Katika kipindi kifupi cha Uhudumu wa huyu IGP mpya, pengine changamoto kubwa aliyokumbana nayo katika utendaji wake ni kukithiri kwa matukio ya ajali za barabarani. Matukio haya yamekwenda sambamba na upotevu wa roho za watanzania, nguvu kazi ya Taifa. Inasikitisha sana. Licha ya ajali...
  17. JamiiForums Tanzania Nape: Hata mimi nataka Katiba Mpya

    Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine. Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu...
  18. JamiiForums Tanzania Rushwa yavuruga Uchaguzi wa Mwenyekiti mpya TLP

    Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea. Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
  19. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iweke ukomo wa mtu kuwa mbunge na diwani iwe miaka kumi

    Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za Mkapa. Hadi leo kwa Rais wa nne bado anataka kuendelea kuwakilisha wananchi. Na bado anataka...
  20. JamiiForums Tanzania Mbeligiji Adel Amrouche (58) ateuliwa kuwa kocha Mpya Taifa Stars

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche (58) kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars. Kocha Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…