mpya

  1. JamiiForums Tanzania Mnaotumia bidhaa mpya ya microsoft ya windows 10 someni tena hapa mjue hatari inayowakabili

    Mada hii imeshajadiliwa na wenzetu kabla. Hata hivyo kutokana na umuhimu wake ni muhimu kuijadili katika vipembe vingine kuzidi kuifahamu Microsoft wameshatangaza kuwa toleo la windows 10 liliopo sasa litafikia ukomo ifikapo oktoba 2025.Watumiaji wake wataachwa kujikongoja na toleo hilo na...
  2. JamiiForums Tanzania Kabla ya Katiba Mpya tupige kura kuhusu hatima ya Muungano

    Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa muungano basi Watanganyika tuendelee na zoezi la kuunda katiba yetu, na wazanzibari watajua wenyewe...
  3. JamiiForums Tanzania Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yafanyika nchini Uganda

    Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na kuwavutia maelfu ya watu waliotaka kushuhudia utamaduni maalumu wa Kichina. Maelfu ya Waganda na...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Heri ya mwezi mpya Februari, mwezi wa wapendanao, mwezi mfupi zaidi, mwezi mpya baada ya utitiri wa bili za Januari

    February itakuwa nzuri kuliko January, Niwatakie mwezi mpya 🎉
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bungeni: Serikali yapendekeza kufutwa kwa Ada ya kupewa Kadi mpya ya Mpigakura

    Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara za 12, 20 na 21 zifanyiwe marekebisho kwa kuongeza hali ya Ulemavu kuwa miongoni mwa taarifa...
  6. JamiiForums Tanzania Nauza Airtag Mpya kabsa- Elfu 50

    AirTags zilitangazwa katika hafla ya uzinduzi wa Apple mnamo tarehe 20 Aprili 2021. Zitatolewa tarehe 30 Aprili, lakini unaweza kuagiza mapema wakati huo sasa. Maagizo ya mapema yalianza tarehe 23 Aprili. Apple AirTags ni vifaa vya ufuatiliaji vyenye teknolojia ya Bluetooth vilivyoundwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Visa ya India huchukua siku ngapi?

    Heloo WanaJF mko poa? Visa ya India ni siku ngapi mpaka napata?
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

    Maneno yasiwe Mengi. 1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu 2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema 3.. Katibu Mkuu - John Heche 4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali 5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yachaguliwa kuwa moja ya nchi 8 za Afrika zitakazopewa kipaumbele kupitia mpango mpya wa Mattei Plan

    Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo kiasi cha Euro bilioni 5 za awali kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo. Miradi hiyo ya kipaumbele kupitia Mpango mpya wa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Ndugu wadau, Wote tunajua kwamba mtaala mpya umeanza mwaka huu 2024 kama ilivyoelezwa mara nyingi na wakuu wa wizara ya Elimu na hadi Waziri mwenyewe. Kadiri ya maelezo ni kwamba shule za sekondari zitakazoanza na mtaala mpya hasa kwa form one ni zile chache tu zenye mkondo wa amali. Shule...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana

    Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana. Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!! Kwenye Science... Anasoma hadi What is physics? What is chemistry?!! Pia, science ya class 5 imeletwa class...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bila katiba mpya nzuri, wawekezaji watatukimbia!

    Bila katiba nzuri wafanyabiashara ambao mnakaa na kuona katiba haikuhusu unajidanganya kwa sababu hii hapa ya msingi. 1. Kwanza maandamano ya juzi sio kwamba serikali ilipenda bali umma umepata nguvu zaidi na viongozi wa upinzani wako serious sana. 2. Wamesema “watakinukisha” maana yake ni...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwa unayetaka kuanza project mpya na kubwa zingatia Hili utanishukuru baadae

    Unapota kuanzisha mradi mpya na mkubwa,mradi unaomini ukiusimamia vizuri utakutoa basi huna budi kuzingatia jambo Hili la mhimu ambalo wengi Huwa tunalisahau kwenye mipango yetu,jambo lenyewe ni Hili hapa; Kuzingatia kuwa wewe ni binadamu na unatakiwa kupata mahitaji ya msingi kama...
  15. JamiiForums Tanzania Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

    Forbes imetangaza orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo mabilionea 20 kwenye orodha hiyo wanakadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 82.4. Hii ni ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hii ndio orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika; 1. Aliko...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, hii ni tozo mpya kwenye akaunti za Benki?

    Habarini wana jamvi, natumaini mko poa sana. Leo katika mishe zangu ikaingia sms ya tozo, ikiwa na jina la PAYROLL LEDGER FEE na baadaye ikaja na ya VAT. Sasa nikapiga simu kwa bank husika kujua hii shughuli imeanza lini mbona sina experience ya hii shughuli na tulishaambiwa haya mambo hayapo...
  17. JamiiForums Tanzania Je, KKKT ni mpinzani mpya wa CHADEMA?

    Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana...
  18. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Mpya: Chini ya Mabwawa na Mito inayofufuka, Viongozi Wamekaa Pale.

    Waafrika tuna dharau sana hasa viongozi walioshika mpini. Mwaka fulani hapa jijini Dasalam kuna project flani ililetwa nadhani na UN kuhusu kuboresha miundombinu ya jiji na bahati flani niliwahi kuwepo as mdau wa taasisi flani. Kutokana na karabrasha nililonalo lenye michoro yote ya jiji...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo la kiufundi mahali kwenye kizazi hiki tukubali au tukatae au ni njia mpya ya siasa?

    Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete. Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia. Kukiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…