mpya

  1. JamiiForums Tanzania Nauza Epson printer L3250 mpya

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 450,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
  2. JamiiForums Tanzania Mtaala mpya wa kidato cha kwanza 2025; Somo la Biashara ni lazima kwa wanafunzi wote nchini?

    Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 , Kiswahili, Kiingereza na Jiografia. Masomo 6 ya lazima, kama business studies(commerce) zamani ni...
  3. JamiiForums Tanzania LEO NAUZA HIKI KIFAA KWA BEI YA MWAKA MPYA

    Hiki kifaa kinaitwa ID-WTM6 TRIMMER, KAZI YAKE NI PAMOJA NA KUTENGENEZA MAPAMBO KWENYE MBAO NA NAKISHI, NI KIZURI SANA KWA WATENGEZA FURNITURE LEO NA KIUZA KWA BEI NDOGO SANA 120000 TU. Namba 0617009453 DSM
  4. JamiiForums Tanzania Katavi: Mwanafunzi wa Darasa la Tatu ajinyonga kwa kukosa nguo mpya siku ya Sikukuu

    Mwanafunzi wa Darasa la Tatu katika Kijiji cha Uruwila, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari 03. 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kasta Ngonyani, amesema tukio hilo limetokea mnamo...
  5. JamiiForums Tanzania KENYA: Polisi aachia watuhumiwa kwenda kusherehekea mwaka mpya

    Wapendeni adui zenu kama nafsi zenu A police officer in Zambia has been arrested for allegedly releasing over a dozen prisoners so they could celebrate New Year's Eve. Detective Inspector Titus Phiri "forcibly seized cell keys" on Tuesday morning whilst "in a state of intoxication," Zambia's...
  6. JamiiForums Tanzania Karibu katika wakati wa kizazi kipya cha Gen Beta

    Karibu Gen Beta Mwaka 2025 unaenda kuweka alama rasmi ya ujio wa kizazi kipya, kwa urahisi tu tunawajumuisha kwa kuwapa jina BETA. Kizazi hiki ni kile kitakachoanza kuzaliwa kati ya miaka ya 2025 na 2039. Kizazi Beta kinakadiriwa kuongeza 16% ya idadi ya watu ulimwenguni. Ni uzao huu utakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Msumbiji kuapishwa Januari 15, 2025 licha hali ya machafuko kuendelea nchini humo

    Baraza la Katiba (CC) limetangaza rasmi kuwa Rais Mteule, Daniel Chapo ataapishwa Januari 15, 2025 kuwa Kiongozi wa Taifa hilo, licha ya wito wa Wananchi, Wapinzani na Jumuiya za Kimataifa kudai Uchaguzi uliompa ushindi haukuwa wa Haki, Huru na Uwazi. Ushindi wa Chapo umeibua Mgogoro na Vurugu...
  8. JamiiForums Tanzania HERI YA MWAKA MPYA WA 2025

    Wana JF wote Pokeeni salamu zangu za Mwaka huu wa 2025 ukawe mwaka wa heri kwa kila mmoja wetu. Asanteni
  9. JamiiForums Tanzania Msaada tutani, hivi mwaka mpya unaanza kuchakaa lini?

    Natafakari tu hapo Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa? Baada ya kulipa ada? Siku ya kuzaliwa CCM? Siku ya wajinga (1/4/2025) May Mosi? Embu wajuzi mtuambie?
  10. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inautulivu fulani kabla mfalme wake mpya kuingia madarakani mnamo Januari 20, 2025

    Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu...
  12. JamiiForums Tanzania Kheri ya mwaka mpya 2025:Ninawaombea wagonjwa wote wanaohangaika na magonjwa sugu,Mungu awaponye.

    Wasalaam. Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo...
  13. JamiiForums Tanzania Kama umeukaribisha mwaka mpya wa 2025 Kwa kunyonya Uume au Uke inapaswa utambue umeshajipalia Mikosi ya mwaka mzima!

    Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae! Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima ! Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume! Your finished my friend,huu...
  14. JamiiForums Tanzania Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

    Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express interest in Watu. We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Muislamu anaekesha mwaka mpya kumbi za starehe ili iwe nini?

    Mwaka mpya, iwe wa Hijria au wa kawaida (Gregorian), ni fursa muhimu kwa Muislamu kujitathmini, kufanya maamuzi mapya, na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Quran na Hadithi zinatoa miongozo ya kimaadili na kiroho ambayo inaweza kumsaidia Muislamu kutumia kipindi hiki kwa mazingatio...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera R.C Makonda Arusha imesheherekea Mwaka mpya bila vurugu

    Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki. Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku. Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

    Heri ya mwaka mpya 2025. Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k Hebu share na sisi hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa sisi tusio wa dini ya Kikristo kusheherekea Mwaka Mpya?

    Huu mwaka siyo wetu...ni Mwaka wa Kikafir kabisa. Si kama kwenye Kalenda yetu. Nashangaa naona watu wanatakiana heri na fanaka.
  19. JamiiForums Tanzania Kiongozi mpya wa Syria akutana na viongozi wa Kikristo

    Ni mwanzo mzuri japo mimi kwa kweli sijawahi kuwa na imani na kobaz yeyote, hata akiwa jirani yangu, kuna majini huwa wameingizwa kwenye system zao na hutibuka mara moja ghafla bila kutarajiwa. Huyu kiongozi mpya ambaye ni ni mvaa makobaz, anaonekana kuwa na muelekeo mwema, ila siku akianza...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa mwaka 2025 kutoka kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Vijana wa Kitanzania

    UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu vijana wenzangu! Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende kutumia fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya, afya njema, na mafanikio tele. Mwaka mpya ni fursa mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…