mpya

  1. Historia Mpya ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

  2. Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

    Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
  3. Msaada kuhusu mfumo mpya wa Insurance ya Gari

    Habari waungwana, Kuuliza sio ujinga, nilikuwa naomba kujua kuhusu huu mfumo mpya wa Insurance za magari wa kutokuwa na sticker za kubandika kwenye kioo. Je, inapaswa utembee na cover note kama ithibati kuwa Insurance yako ni hai. Hofu yangu ni hawa ma traffic wetu wanaweza kukamata na...
  4. Simu ya Pixel 2 xl 128 Gb inauzwa kwa 350k mpya kabisa..

    Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi... Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey inauzwa kwa laki 3 tu(300k). Napatikana tandika sokoni wilaya ya temeke Dar es salaam... 0754273820...
  5. B

    Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

    Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa. Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu. Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji: Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo. Ukitaka...
  6. Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

    Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115. Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa. Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena. Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
  7. Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

    Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga. Ushaur; Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo. Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
  8. F

    Katiba Mpya Haimpeleki Rais Ikulu

    Tusiyopenda kuyasikia kwenye Elimu ya Uraia. Kimsingi madai ya Katiba mpya kwa minajili ya kushika nafasi ya urais naamini ni ndoto isiyotimia kwa vizazi vingi vijavyo. Uki-study historia mahala pengi utakubaliana nami kwamba madai ya Katiba mpya siyo kwa ajili ya wanaogombea urais kuingia...
  9. J

    Lile Jambo kutoka kwa Rais Samia ni Leo, tega masikio yote mawili

    Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu. Tega sikio hapa hapa bwashee. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  10. S

    Zile ndege mpya ni mali ya Zanzibar - Kilichotokea ni kiini macho

    Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa. Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
  11. Najibu hoja za ndugu Humphrey Polepole kuhusu mwelekeo mpya wa nchi yetu

    Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu. Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60. Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
  12. Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania

    Mwanzo | TRC Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania – TRC zilizonunuliwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP, bandarini jijini Dar es Salaam Oktoba 06, 2021. Behewa hizo zitatumika kusafirisha mizigo...
  13. W

    Ndege mpya mbili kupokelewa Jumatatu tarehe 11/10/2021

    Ndege mpya mbili zitapokelewa Ijumaa ya tarehe 8/10/2021. Ndege hizo zitapokelewa katika uwanja wa ndege wa Amani Zanzibar. Tujikumbushe mambo ya Muungano. Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-. 01. Katiba ya Tanzania...
  14. New TARURA Parking Fee System inaenda kuwa aina mpya wizi na uonevu

    Waaungwana Kama heading inavyoonesha hapo juu. TARURA amekuja na namna nyingine ya kukusanya ushuru wa Maegesho ya Magari, Mfumo huu Mpya ni wa kielektroniki na uko based on Control Number. Nimefanya Research ndogo na kugundua kuwa Huu utaratibu mpya mbao ni Mzuri umegeuka kuwa ainia ya Wizi...
  15. Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

    Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21. Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza tu alitenga jumla ya TZS 589.4BL Fedha hii ni kwaajili ya...
  16. M

    Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya. Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao. Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa...
  17. Barabara mpya Mwenge - Morocco, vibanda vituo vya mabasi vyapopolewa utadhani daladala zina usongo navyo

    Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar. Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco. Sina uhakika kama brabara hii imeshazinduliwa , na sasa tayari jamaa wanapopoa vibanda ambavyo havina hata miezi minne. Vibanda vya mabasi vinapopolewa na mabasi ya daladala , utafikiri...
  18. Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  19. N

    Fikra mpya na mageuzi ya kiutendaji yanahitajika TAZARA

    Ndg zangu watanzania, ninapenda kutoa maoni yangu kwa shirika la reli Tanzania na Zambia yaani Tanzania Zambia Railway( TAZARA). Usafirishaji wa abiria umekuwa changamoto kubwa kutokana na ajali za mara kwa mara zinazozipata treni za mizigo na hivyo kupelekea treni za abiria kushindwa...
  20. Mtindo mpya wa mabinti/ Wanawake kujipatia wanaume/ Waume

    Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao. Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi (clip) na wakati mwingine hunukuu Maandiko Matakatifu na kwa mwanaume asiyejua kutofautisha dhahabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…