mpya

  1. JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Wakuu, Nachukua fursa hii kuwafahamisha kuhusu ujio wa App Mpya ya JamiiForums! Hii sio update ya kawaida, bali tumeisuka upya kuanzia chini. Haya ni baadhi ya mambo mapya (features): Brand-New Interface (Muonekano Mpya kabisa) - Tume-design app iwe cleaner, faster, na more readable...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
  4. JamiiForums Tanzania Github sasa kila kukicha inakuja na changamoto mpya

    Hapa kweli kazi ipo, GitHub kila mara ipo down mara feature hii haifanyi kazi au ile Sasa leo mtu umefanya maboresho una push GitHub imegoma
  5. N

    JamiiForums Tanzania The Ages of AI na JamiiAI: kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza Tanzania

    Habari wakuu, Miaka michache ijayo, kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza. Kama ilivyo kwa simu janja ambazo zamani zilionekana kuwa za kipekee, roboti nazo zinatarajiwa kuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Roboti ni Nini? Roboti ni mashine iliyoundwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu mpya wa Fedha wa CCM ni Mtanzania halisi? Mbona anaonekana kuzungumza kiswahili kwa tabu

    Nimemsikiliza akiwa katika mkutano wa hadhara wakipokelewa viongozi hao wapya na wanachama wao jijini Dodoma, baada ya kuteuliwa hivi karibuni. Katika mkutano huo alipata nafasi ya kuongea na kuwashambuli viongozi wa vyama vya Upinzani. Hapo ndipo nilipogundua anazungumza kiswahili kama vile...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Dar: Katiba mpya sio suluhisho la matatizo ya vijana, uwajibikaji

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed amesema; "Hata tukitengeneza Katiba Mpya leo kama watu hawatawajibika bado tutarudi kwenye suala la malalamiko kwa Wananchi"
  9. D

    JamiiForums Tanzania Pampu mpya zaendelea kufungwa Ruvu Juu, kuimarisha huduma

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la ufungaji wa Pampu mpya katika mtambo wa Uzalishaji maji Ruvu Juu, zenye lengo la kuimarisha uzalishaji na usambazaji wa maji katika Mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani. Akizungumza wakati akikagua endelevu za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni, Mawakala na wateja kuweni makini, wezi wanabuni mbinu mpya kila siku

    Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya. Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana. Usikubali...
  11. JamiiForums Tanzania Enyi CHADEMA, Mauaji ya Okt 29 ya CCM, ni sawa na Mauaji ya Kenya 2007 yaliyozaa Katiba Mpya. Komaeni, Pambaneni, Samia na CCM watabana ila Wataachia

    Hatuhitaji Tena Mauaji mengine kuleta KATIBA na Mabadiliko katika NCHI hii, hata hivo ikilazimu Maandamano, tútaandamana kwa kua ni HAKI. Hamna mahali popote pale DUNIANI, Kiongozi akaua watu wake siku za Uchaguzi kwa Maelefu vile, alafu akabaki salama na akatawala na Dunia ikamchekea, Hamnaaaa...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio sura mpya ya chama cha democrat huko marekani

    Mdada wa kisomalia mjihad na ana support vikundi ya kigaidi Jamaa wa kiarabu, mkomonisti anaepinga marekani na kumsifia china Mwingine huyo kutoka asia, ana support ushoga wa kuvuka mipaka na kuruhusu wanaume trans kuingilia michezo ya wasichna pure US is cooked, soon magharibi wataona moto...
  13. JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Mfumo mpya wa ulipaji wa forodha, T - CAMS unahusishwa na familia ya Samia

    Mfumo mpya wa ulipaji wa forodha, T-CAMS, unaendeshwa na Capital Pay, unahusishwa na kashfa kubwa ya familia ya rais. Kampuni hii inamilikiwa na Garang Malek kutoka South Sudan, ambaye anahusishwa na ufisadi. Mkataba wa kutumia T-CAMS umesainiwa na TAFFA na TASAC bila ushirikiano wa wadau...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Taifa yapata mwelekeo mpya, muswada maalum waandaliwa

    Taarifa kwa UMMA Kuhusu Uandaaji wa Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Kuongoza Mchakato wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa* Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania, taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa, wadau wa maendeleo...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA hakikisha yule Waziri anayetuhumiwa kujihusisha na Madawa ya kulevya, haongelei Maridhiano na Katiba mpya

    Hawa wafanyabiashara ya Madawa ya kulevya, Mafisadi, Wahujumu Uchumi, Wauaji na Watekaji, wanafanya kila njia kuhakikisha katiba mpya haipatikani. Mara watasema, Katiba mpya si kwaajili ya kugawana vyeo, katiba mpya haituletea chakula nyumbani nk. Wengine wanasema tupate Muda wa miaka mitatu...
  17. JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Je, mabeberu wataruhusu tupate katiba mpya itakayogusa Maslahi yao?

    Hamjambo! Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera. Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika. Kupitia madhaifu hayo. Tumeona...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee wa kutupa Katiba Mpya ni Tundu Antipasi Mughwai Lissu, au kwa maana hiyo CHADEMA ya Lissu na Heche

    Sima cha kuongeza. Ongeza wewe msomaji.
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya yote alioongea Cherry juu ya dotto magari hili la waviu kuwa na vidoti kwenye vikanyagio miguuni kafungua code mpya.

    Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama. Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti keupe kazuri sana, ila sasa ile tumezagamuana na mie style zangu za kukunja kunja nikafikia hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…