mpumbavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Mwl. Nyerere alisema heri Mjinga kuliko Mpumbavu. Sasa najiuliza huenda Mpumbavu ni bora kuliko Chawa

    Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa; Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
  2. 4

    Maneno ya Lema yanasikika sana, utakuwa mpumbavu usipoweza yapembua

    Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu Husika na mada tajwa hapo juu, Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu ametoka nje ya nchi Canada alipokua kama mkimbizi wa kisiasa Uyu mwamba moja ya kauli alizotoa akiwa...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Mzazi mpumbavu huaribu familia yake kwa mkono mwenyewe

    Leo nimeona thread nyingi watu wakilalamika dada zetu kuzalishwa nyumbani na kutelekezwa ukweli ni kuwa wengi wao wazazi wao au walezi hawakusimama imara katika majukumu yao
  4. S

    Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe, bali mwenye hekima huijenga nyumba

    MWANAMKE MWENYE MAKELELE Tarehe 9/10/2021 nipo stendi ya mabasi Iringa, nimekaa karibu na wakatisha tiketi za mabasi waliokuwa wakifanya mazungumzo yao, na katika mazungumzo yale ninawasikia wakijibiza. "USIRINGE WEWE SI USHUKURU NDOA YAKO HAINA MAKELELE, MI MWENYEWE HAPA NI MNENE, BASI TUU KWA...
  5. S

    Hasira ukaa moyoni Mwa mtu mpumbavu.

    MHUBIRI 7 Ukweli wa maisha 1 Heri sifa njema kuliko manukato ya thamani; Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa. 2 Heri kuiendea nyumba ya matanga, Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake. 3 Huzuni ni afadhali kuliko...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanaume Mpumbavu ndio humpigia mkewe magoti. Jioneshe kuwa Mwanaume

    MWANAUME MPUMBAVU NDIO HUMPIGIA MKEWE MAGOTI;. JIONYESHE KUWA MWANAMUME Anaandika, Robert Heriel Shahidi Mwanamke pekee ambaye mwanaume anaweza kumpigia magoti ni Mama yake. Na hapa nazungumzia mwanaume sio mvulana. Nazungumzia mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 20. Mwanaume atapiga magoti...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya Dalili ya Kiongozi Mpumbavu ni kutaka kuogopwa.

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi Sana ya kusema, Mtoto wangu aliniuliza hivi; Baba ni Dalili gani ya wazi itakayonifanya nimjue kiongozi huyu ni Mpumbavu ili nijiepushe naye? Swali lake linashangaza Sana. Ukizingatia yeye ni mtoto wa miaka sita tuu. Nikamjibu; Kiongozi Mpumbavu utamtambua Kwa...
  8. Kalunya

    Mwanamke mpumbavu hupiga kelele

    MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE. Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya tushindwe kuwa na amani kwenye mahusiano yetu. Ukiwa kama binti, unaweza usiwe na tabia zingine mbovu...
  9. Mzee Mwanakijiji

    Msemo Fyatu: Kwenye wingi wa maji safi, Mpumbavu Hufa kwa Kiu....Una Ukweli?

    Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa...
  10. mapipando

    Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe

    Iko hivi, Kuna jamaa ni jirani yangu anapiga mishe kwenye duka la wachina hapo gerezani, wanauza aina mbalimbali za vyuma na mabati ya mageti. Inavyoonekana jamaa ni anapiga hela ndefu kinyama kwa hao Wachina maana nyumba yake ameiboresha kwa kiwango cha juu sana tangu alipoanza kufanya nao...
  11. Alvin A.

    Namna ya kumtambua mwanamke mpumbavu

    Habari wadau, Leo naleta hii nondo makinikeni 1. Anamkomoa mumewe 2. Analala mapema kabla ya mumewe 3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe 4. Mbishi, anahisi kuonewa muda wote 5. Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa 6. Mmekaa sebuleni anahadithia tu mafanikio ya familia za wa2 wakati ye...
Back
Top Bottom