mpira

  1. kavulata

    Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  2. radhiya

    Mitandio ya Mpira na Chiffon inapatikana

    Mitandio ya Mpira rejareja sh 6,000. Jumla sh 5,000 kuanzia tatu. Zimebaki pc 7. Mitandio ya Chiffon sh 5,5000 zimebaki tatu. Tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore @prathrealestate Karibuni wote.
  3. radhiya

    Mitandio ya Mpira inapatikana

    Mitandio ya Mpira (Jersey hijab) inapatikana. Zimebaki pc 7. Ukubwa: Medium Bei ya rejareja: sh. 6,000. Bei ya jumla: sh. 5000 kuanzia mitandio mitatu. Mitandio ya shiffon ziko pc 3, kila moja sh 5,500. Tunapatikana Tabata Kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery...
  4. radhiya

    Mitandio ya Mpira Inapatikana

    Mitandio ya Mpira (Jersey hijab) inapatikana. Zimebaki pc 7. Ukubwa: Medium Bei ya rejareja: sh. 6,000. Bei ya jumla: sh. 5000 kuanzia mitandio mitatu. Mitandio ya shiffon ziko pc 3, kila moja sh 5,500. Tunapatikana Tabata Kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery...
  5. BIG BROTHER ALEX

    Lugha gongano TFF(shirikisho la mpira) wabadili jina, watu wanawachanganya na TFF waasi, huko mitandaoni, kichekesho

    Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja. HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya, MTU ana comment hivi, 1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa...
  6. A

    DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  7. B

    Sera ya ukuzaji vipaji vya mpira Tanzania

    PROJECT PROPOSAL YA KITAIFA **KAMPENI YA KITAIFA: “TUINUE VIPAJI KWA TAIFA LETU NA MAENDELEO YETU”** Wizara Husika: Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1. UTANGULIZI WA KIMKAKATI Tanzania ni taifa lenye idadi kubwa ya watoto na vijana wenye vipaji vikubwa vya...
  8. radhiya

    Mitandio ya Mpira inapatikana

    Mitandio ya Mpira (Jersey hijab) inapatikana. Ukubwa: Medium Bei ya rejareja: sh. 6,000. Bei ya jumla: sh. 5000 kuanzia mitandio mitatu. Mitandio ya shiffon ziko pc 3, kila moja sh 5,500. Tunapatikana Tabata Kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa...
  9. Red black

    Mkiniona nazungumzia masuala ya mpira tena kwanzia leo mnifunge mdomo na gundi

    Sitajihusisha tena na mpira kwa kipindi cha miaka 10
  10. marcoveratti

    Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  11. The Burning Spear

    Million 5 za goli la mama zimezika mpira wa Tanzania

    GT Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome. Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata kidogo. FIFA wanaposema siasa zijitenge na mpira huwa wana maana kubwa sasa. Sasa uchawa wa kwenye...
  12. B

    Timu yangu Simba,mkitoboa hapa kwenda robo rasmi nitaamini kweli mpira ni wa duara na hauna pembe.

    Japo mpira una dunda me ndo nataka nione huo mpira unavyodunda kwenye makundi kwamba mnyama aende Robo kama kawaida yake.
  13. Mel James

    KERO Serikali, Watu wanazidi kujenga kuzunguka Uwanja wa Mpira wa Ikhanga-Igawilo Mbeya

    Habari ndugu zangu! Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya. Uwanja huu ni mkongwe sana jijini Mbeya. Umetumiwa na timu kubwa kama yanga, simba wakija Mbeya kama kambi...
  14. Pdidy

    Kwa mpira huu hakuna kukimbia uwanjani

    Dah hii Al Ahly ya Sudan ya Libya Yaan nilifikia uamuzi wa kusema wakizingua kama afcon tutoke uwanjan Ila.kwa mpira huu tutakufa nao
  15. S

    Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha

    Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
  16. Bawabu wa pili

    Nchi zetu zinataka tutumie internet kuangalia games, mpira, pornography, movies na mambo kama hayo. Ukigusa sensitive issues hawataki kabisa

    Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
  17. Fbn

    Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  18. Damaso

    Vilabu vya Mpira Vimetusaliti: Wapi Uzalendo Wetu Wakati Taifa Linalia?

    Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi. Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
  19. ngara23

    Wanaomlaumu na kumshambulia Prince Dube ni watu wasiojua mpira

    Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa Sisi tuliocheza mpira na baadae tukapata course za coaching tunajua hata striker kukosa nafasi ya kukosa goal ni mzuri mno, Ile nafasi ni ngumu mno Wachambuzi wengi hawaoni potential ya Dube kwakuwa hawajui mpira...
  20. The Mongolian Savage

    Msaada wa app ya mpira

    Kwenu wanajamvi. Naombeni msaada wa app ya mpira uefa nzuri. Nilizo nazo zinazingua.
Back
Top Bottom