Mpimbwe District is a district council in the Katavi Region of Tanzania's Southern Highlands established in 2012. The district lies in the south of the region on Lake Rukwa.
Katika Halmashauri ya Mpimbwe, kuna malalamiko kwamba kuhoji matumizi ya fedha za umma kunachukuliwa kama kosa badala ya njia ya kuimarisha uwajibikaji.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, ambaye aliomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya fedha za makusanyo ya hospitali...
Anonymous
Thread
halmashauri
katavi
matumizi ya pesa
mpimbwe
mtumishi
Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya pamoja na matumizi ya fedha za ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walkway) katika hospitali ya wilaya...
Anonymous
Thread
asimamishwa
baada
fedha
hospitali
katibu
maswali
mpimbwe
taharuki
Uandikishaji ulifanyika kwa siku saba kwa kupita kaya kwa kaya lakini wamelipwa kiasi cha sh. 50000 tu. kwa siku hizo zote.
Tunaomba katibu mkuu wizara ya Afya atolee ufafanuzi suala hilo, Kwan huu ni unyanyasaji. Hata fedha ya mafunzo halimashauri ililipa sh.15000 tu.kinyume na utaratibu.
Anonymous
Thread
afya
katavi
kilio
mpimbwe
vyandarua
wahudumu wa afya
Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu.
Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa hizi, geti hilo halifanyi kazi mchana, bali huanza shughuli zake kuanzia jioni hadi usiku. Inadaiwa...
Anonymous (30c2)
Thread
binafsi
halimashauri
malipo
mazao
mpimbwe
necta
shule
shule binafsi
tabora
usajili
ushuru
Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo, fedha zimekuwa zikipokelewa lakini zinabadilishwa matumizi kinyume na kusudio lake na bila utaratibu...
Nawapongeza TAKUKURU Wilaya ya Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika kuchunguza tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika Idara ya Afya.
Hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa DMO wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na...
Anonymous
Thread
kufuata
kusimamia
mpimbwe
pongezi
sheria
takukuru
uwajibikaji
wake
Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata wakifuatilia suala hilo hawatafanikiwa.
Hata hivyo, baada ya kikao hicho, watumishi wachache ambao...
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali.
TAKUKURU wilaya walikuwa tayari wameanza uchunguzi kuhusu tuhuma hizo, lakini cha kushangaza mtuhumiwa amehamishwa kabla...
Anonymous (f18b)
Thread
fedha
huduma za afya
kabla
kukamilika
kumlinda
mpimbwe
mtuhumiwa
njia
uchunguzi
wizi
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe hailipi madeni kwa sisi ambao tumefanya zabuni nao, na ukifuatilia malipo unajibiwa vibaya. Pia wamejipa majukumu ya TRA kwa kuzuia malipo endapo unadaiwa TRA, jambo ambalo ni kinyume na sheria pamoja na taratibu.
Tunaziomba mamlaka za juu kuchukua hatua kwani...
Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo.
Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu.
Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
Anonymous
Thread
askari
halimashauri
kero
kijiji
kubwa
mgambo
mpimbwe
Mpimbwe, Katavi
Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja na ujenzi wa barabara unganishi ya Kibaoni-Chamalendi-Mdede kwa gharama ya shilingi bilioni 4.2 katika Halmashauri ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema maboresho ya Elimu yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita yamechangia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa Halmashauri hiyo hususan ni kwa Shule ya Sekondari ya Mizengo Pinda ambayo imeshika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.