mpenzi

  1. Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

    Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori. Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
  2. Vipi? Umkute na nguo ya ndani umzue au bila bila mpenzi wako

    Wakati mnakubaliana kunyanduana hususani kwa mwanaume Kuna masharti ambayo unampa mpenzi wako pindi mnapokutana chumba Cha Siri awe amezingatia ili kukidhi matamanio Yako, kwa misingi ya kuongeza matamanio na hisia Kali za kimapenzi pindi mnapokutana. Moja wapo ni kuhusu nguo ya ndani ( Pichu )...
  3. Mpenzi wangu anapiga simu kila saa hali anajua nina familia nifanyaje?

    Wahuniiiiiii Nimewaita mje Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku Baba anataka msaada afanyaje?
  4. Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

    Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my...
  5. D

    Hebu tueleze jinsi uliyegombana naye alivyogeuka kuwa mpenzi wako baadae!

    Naanza Mimi. Imenitokea mara mbili; 1. Nilipigana kabisa na msichana flani tukiwa shule ya msingi (darasa la 6). Alinichongea kwa mwalimu nami nikamtafuta baadae na kuzibuana nae vibao; mitama miwili na vibao vitatu swaaafi kabisa vikamkuta. Nikaripotiwa tena na viranja nikaadhibiwa tena...
  6. Mtumie mpenzi wako text hii "it's over me and you " halafu screenshot tuone majibu yake

    Nimeichukua huko mjini X (zamani Twitter )
  7. Hivi mpenzi wako anapokuita "mubaba"anakua na maana gani?

    Heri ya jumapili wakuu Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua. Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani? Maana kuna kibinti hivi vya mwaka elfu 2 kinapenda kuniita mubaba na wakati me bado yanki kabisa,sasa nimeshindwa kukihoji nikaona...
  8. Ukiondoa usaliti ni Jambo gani lingine ukiligundua kwa mpenzi wako mnaachana siku hiyohiyo

    je ni ipi ukiigundua itakufanya umpige chini bila maelezo ukiachilia usaliti au fumanizi. Je,ukijua ni drug dealer Je ,ukijua amewahi kuua? Je,ukigundua anamiliki didlo kalificha? Je ukigundua anatumia bangi? Je ukigundua kitu gani kitaje?
  9. Nikigundua mpenzi niliyenae anafanana na baba yake lazima nimuache

    Sio kwamba wanawake wote wanaofanana baba zao ni wabaya la hashaaa Kuna pisi kali sana ila zimefanana baba zao kuliko mama zao Pata picha mko kwa bed mnanyanduana,ukimuangalia usoni mpenzi wako inakuja picha ya baba yake,hapo mimi huwa naona kama namnyandua mtoto na baba mtu ... Ila mtoto...
  10. S

    Huwa unahisi vipi ukimpigia na kumtext mpenzi wako halafu yeye akujibu tu text bila kukupigia?

    Mfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei, unaamua kutulia kisha yeye anakuja kukujibu tu ujumbe wako baada ya lisaa na hakupigii ingawa alikuta missed call yako. Je huwa unachukuliaje hali hii pindi...
  11. Chaguo ni lako mpenzi

    Dear ladies.... Either you give a man multiple chances or you give multiple men a chance....the choice is yours. Uzi tayari.
  12. Kumvuta mpenzi kwa kutumia mshumaa

    Kumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kiasi. Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu unayemkusudia ima chake au alichowahi kushika, Chukua mwiba, pini au waridi andika mshumaa huo...
  13. Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  14. Mwanaume usikwepe majukumu yako kwa mpenzi wako umpendaye

    Mwanaume kamati hii... Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi. Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki. Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote...
  15. Anayetuhumiwa kumuua mwanariadha Rebecca Cheptegei naye aaga dunia akiwa hospitali

    Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini. Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
  16. nikipiga simu kwa mpenzi wangu akawa anatumika nakuwa na mwazo sana

    twajibiii mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana anaongea na nani? wanaongea nini? inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje? na asipo jibu sms ndio kuzidi nahisi kuna mtu bora zaidi yangu...
  17. Natafuta mpenzi kwa waliopo kigoma

    Habari za mida wapendwa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
  18. Mpenzi Jury

    Miaka miwili iliopita nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu ambae kwa kiasi nilitokea kumuamini na kujihakikishia kama huyu angeweza kuwa mke wangu hapo baadae, Mchumba wangu alipata kazi visiwani Zanzibari sikuwa na hiyana bali nilimwambia kwa wakati wote atakapo kuwa Zanzibar tutakuwa...
  19. Mpenzi wangu aliniomba siku yake ya Birthday nimnunulie zawadi itakayo dumu mwaka mzima nimemnunulia Calendar kanuna

    Za sahizi wakuu. Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu
  20. TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya. Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…