mpenzi

  1. Sister Abigail

    Kwa kizazi hiki inawezekana kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu?

    Salaam wakuu, Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa. Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha Kucheat imekuwa kitu Cha...
  2. fakhbros

    Kugusana na mpenzi wako ni lugha ya kimia ya upendo

    Kugusa ni lugha ya kimya ya upendo" huangazia athari kubwa ya mguso wa kimwili katika kueleza hisia, mapenzi, na upendo bila hitaji la mawasiliano ya mdomo. Njia hii ya mawasiliano isiyo ya maneno huzungumza moja kwa moja na moyo na nafsi, kuwasilisha hisia ambazo mara nyingi maneno hushindwa...
  3. Aaliyyah

    Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

    Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃 Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo. Rafik yangu alikuwa ni wale...
  4. Natafuta Ajira

    Pesa ya mpenzi wako haikuhusu

    Hata siku moja usitegemee wala kutarajia hela kutoka kwa mpenzi wako, iwe ni kuomba au kumkopa, na ieleweke ya kwamba hapa nazilenga jinsia zote mbili. Zingatio zaidi kwa upande wa mwanaume, jiepushe kujenga mahusiano na broke woman kwa sababu atakua liability kwako. Binafsi nikiwa katika...
  5. D

    Ongeza exposure kabla ya kuoa

    Salaam wana MMU Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi. Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha. Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa...
  6. mdukuzi

    Ukigundua kuwa mke au mpenzi uliyenae uliwahi kutoka na binti yake utafanyaje?

    Mnaopenda mishangazi, Kuna bwana abatoka na lishangazi fulani,kumbe miaka miwili iliyopita aliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti wa hilo lishangazi,na hawakuachana kwa ubaya, Bado ni marafiki,.
  7. Equation x

    Migogoro na mpenzi wangu haiishi

    Leo atakwambia hivi kesho litatokea lile. Leo atakuambia ubebe pochi yake, kesho atakuambia umuogeshe Leo atakupiga kiatu, kesho atakunyima tendo. Leo atataka kula hiki, kesho atataka kile. Sasa ananipangia siku za kufanya tendo Tatizo anasema ninamfaidi sana, kwa sababu natumia muda mwingi bila...
  8. W

    Ni mambo gani hutakiwi kumshirikisha mpenzi wako, hata iweje?

    Mimi huwa najikuta very uncomfortable kushare mambo au shida za familia kwa mwenzangu hata kama mara nyingine anasisitiza naona kama kuna siku tukikwazana he will use that against me. Japo yeye anasisitiza kuwa tunatakiwa kusaidiana kwenye shida na raha lakini bado sijashawishika na hii kauli...
  9. P

    Mpenzi niliyekutana naye JF, naye alizingua nikashindwa kuja nae US

    Uzi wangu wa kwanza kuhusu mpenzi wangu kukataa kuja nami US ulipata wachangiaji kadhaa huku baadhi walionesha nia ya kuja na mimi. Basi nikajitosa kwa mmoja, kuja kukutana naye mtoto mashallah, sauti makini, umbo lenyewe kabisa. Wakati huo nilikuwa na majukumu kibao ila nikapangua ili nikutane...
  10. Suley2019

    Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui?

    Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui kama linakukwaza. Tupa jiwe gizani ujumbe ufike
  11. Equation x

    Nami nimemuadhibu mpenzi wangu aliyenijeruhi kwa kunipiga kichwani

    Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka. Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa mapigo ya kichokozi chokozi, lengo ni kuniamsha hisia ili niweze kusamehe na kusonga mbele. Mimi...
  12. Essence Tz

    Natafuta Mpenzi

    Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu
  13. Samia atosha tukutane2030

    Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  14. amshapopo

    Huwa unakagua Simu ya Mpenzi wako? Nini kinakusukuma kufanya hivyo?

    Hata ya Lamomy hushiki?
  15. W

    Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

    Habari za wekeend wakuu, Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali Nimekaa Dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta...
  16. realMamy

    Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

    Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri. Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo. Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika. Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee. Sasa Je...
  17. Chaka la wakubwa

    Unaweza kuruhusu ex wako awe na mazoea ya ukaribu na mpenzi wako

    Bhana me niliachana na dada mmoja alikuwa mzinguaji sana yaani alizingua alikuwa amezoeana na masela zangu akaanza ushem shem si wakataka kummega akakubali nikamuacha. Sasa nkapata pisi moja hiyo nimeanza nayo mahusiano ex wangu akaanza kumzoea si wakawa marafiki ndo akaanza mazoea nae wakawa...
  18. Natafuta Ajira

    Mpenzi wako sio ndugu yako

    Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kukuacha bila kujali sacrifices zote ulizofanya kwa ajiri yake, na kama cheti cha ndoa...
  19. Equation x

    Hatimaye nimerudiana na mpenzi tulieachana naye

    Ilikua wkend moja, nimeamka asubuhi nikahisi kuchoka choka kutokana na mawazo pamoja na majukumu ya kila siku. Ikabidi nioge haraka haraka, na kuamua kwenda chimbo moja angalau nikapate supu ili mwili ukae sawa. Katika lile chimbo, kwa bahati mbaya alikuwepo yule mpenzi wangu tulie achana...
  20. Alibino

    Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

    Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshikaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae. Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya Mwanaume mwenzangu uyu Mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila...
Back
Top Bottom