mpenzi

  1. JamiiForums Tanzania mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

    Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi. kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu...
  2. JamiiForums Tanzania Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura. Video hiyo ilinaswa kwenye moja ya hoteli waliyoenda kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Fresh mwambuli akauza mifugo mpenzi aende japani kusoma

    Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
  4. JamiiForums Tanzania Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

    Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
  5. JamiiForums Tanzania Rafiki mpenzi amenigeuka, amekuwa adui yangu

    Huyu rafiki tulipoteana kwa muda mrefu kidogo. Tulianza fahamiana chuo. Tukamaliza tukaja kutana tena mkoa flani kazini, tukaendelea kuwa marafiki. Baadaye tukatengana tena. Tukaja kutana tena hapa town baada ya yeye kunitafuta. Kumbe alikuwa anakaribia kuolewa. So akawa anataka mchango wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

    Daraja la Mabatini Mwanza. Jamaa kajirusha. Inasemekana jamaa alikuwa akimsomesha mchumba wake Mwanza. Sasa aliamua kuja kumtembelea akakuta hakuna cha chuo bali kakuta kumbe binti keshaolewa na ameshazaa ana mtoto. Jamaa hakuwa na kifua akaishia kuamua hivyo alivyoamua. Ukiamua kusomesha (au...
  7. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  8. JamiiForums Tanzania Part Two: Movies za kutazama na mpenzi wako. Usitazame na watoto

    Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida. Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Filamu hizi tazama na mpenzi wako, usitazame na watoto

    Usiseme hukuambiwa. Huku ugali mdogo, nyama nyingi. Story kiduchu, shughuli ya kutosha. Jikaze mwanetu. 1. NYMPHOMANIAC Bwana Seligman, mwanaume wa makamo anayeishi peke yakez anakutana na mwanamke aliyejilaza njiani akiwa hoi kwa kipigo. Mwanamke huyu anaitwa Joe na story yake hamna...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana. Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

    Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua
  12. JamiiForums Tanzania Onyo la Busara: Ukiwa na Mpenzi wako au mume au mke popote pale usivimbe au kujisifia na ukadharau watu. Ulipo tupo ulipo wapo

    Shalom, Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu. Kisa kiko hivi nina jirani yangu dogo mmoja hivi ni Mhaya(Ishomile) kama kawaida mimi mama yangu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniibia laki 5 akakimbilia Dar, popote alipo nampa salamu kwetu ni Kigoma

    Penny buana me nina makasiriko. Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar. Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo. Simu hapokei. Money Penny: Hizo hela mlipeanaje mpaka useme umeibiwa? Mhanga: alisema mdogo wake anaumwa, anatakiwa afanyiwe opereshen mbeya...
  14. JamiiForums Tanzania Barua kwa mpenzi wa kwanza

    Since tumeonana I never thought kama ingekua hivi leo, I was young I know and I knew nothing about love! I never believed love existed, I only saw it in TV shows and movies. You are the one that taught me, wewe ndo ulianza kuonesha affection kwangu, I was afraid coz moyo wangu ulikuwa mbichi na...
  15. JamiiForums Tanzania Kifuani kwa mpenzi wangu

    "Money Penny buana, nadhani nimepata true love, Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii, Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex Nilipokuwa kifuani kwa mpenzi wangu, nilikutana na kitu cha ajabu, kwanza kifua cha mpenzi wangu kimejaa, nimeweza kuweka...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Man beaten into comma for stabbing lover downtown Kampala

    Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a...
  17. JamiiForums Tanzania SIRI Imefichuka Gentamycin Kayatimba kwa Mpenzi wake Baada ya Kwenda Uganda na Kumbe ni Konda kwenye Magali ya Modern Coast

    Haya ni mawasiliano ya GENTAMYCINE na Mpenzi wake natasha B Mwenzetu kayatimba na Rasmi sasa kaachika na Tunajua kumbe alienda Uganda kwa hisani kwenda kufanya kazi kwenye Kampuni ya Magali ya Modern Coast..
  18. JamiiForums Tanzania Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

    Endrick mchezaji wa palmers ya Brazil katika umri wa miaka 17 tayari ana mafanikio makubwa ya kimaisha huku akimiliki mtoto mkali wa kula naye maisha. Dah kweli maisha hayapo fear
  19. JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

    Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona anatamka kuwa hana mtu mbele ya hadhira baada ya kuona tabasamu la jibaba lenye miraba minne na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri. Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…