mpenzi wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nakupenda Sana mpenzi wangu kokubanza Unanifanya nahisi Hii dunia ni yangu peke yangu mpenzi wangu kokubanza

    Kwa hapa au Hii stage niliyofikia sisikiii la mtu Wowote maana mpenzi anayonipaa mpenzi wangu kokubanza wa nyaishozi ni raha ndugu Zangu wa jamii forum vp na wewe mdau umewahi kupendwa na binti wa kihaya? Asikuambie mtu hawa Wanawake wa kihaya wanajua kupenda Sana aisee sio Kama hao mademu wenu...
  2. JamiiForums Tanzania Mama VS mpenzi wangu

    Guys nilifanya hivi: Nilituma 50,000 kwa mama. Then nikatuma 50,000 kwa Girlfriend. Majibu yalikuwa hivi MAMA: Asante sana baba ubarikiwe sana GF: Hii hela hata haitoshi maana nina mambo mengi. VIJANA KAMA SIO MKE WAKO ACHA KUJIFANYA UNAHUDUMIA, HAVINA SHUKRANI HIVI VIUMBE. NB: Kwa GF...
  3. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

    Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake. Binafsi nampenda sana na hii ni...
  4. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu aliniacha sababu boksa zangu ni za vitenge!

    Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge.. Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana kipindi hiko nilikuwa fundi cherehani so vipannde vya vitenge vilivyokuwa vinabaki nilijitengenezea boksa...
  5. JamiiForums Tanzania Kifuani kwa mpenzi wangu

    "Money Penny buana, nadhani nimepata true love, Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii, Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex Nilipokuwa kifuani kwa mpenzi wangu, nilikutana na kitu cha ajabu, kwanza kifua cha mpenzi wangu kimejaa, nimeweza kuweka...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

    Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona anatamka kuwa hana mtu mbele ya hadhira baada ya kuona tabasamu la jibaba lenye miraba minne na...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

    Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii kabisa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki niende naye ughaibuni

    Umufia kwenu wakuu, Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka ndani. Ila sijamwambia kama nataka kumuweka ndani. Hata hivyo nilikuwa na harakati za hapa na pale...
  9. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe. Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba...
  10. JamiiForums Tanzania Nashindwa kumsamehe huyu mpenzi wangu

    Wakuu naomba mnipe msaada wa mawazo maana tunatofautiana experience humu ndani. Nilikua na mpenzi tuliyedumu naye miaka mingi kidogo kama miaka mitano kama wapenzi, nilimfahamu nilipokua form five mpaka namaliza chuo tulikua pamoja, baada ya kumaliza chuo nilimpa huyu binti mimba, alinipa...
  11. JamiiForums Tanzania Nilivyomchangia pesa ya harusi mpenzi wangu bila kujua

    Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli. Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo vile. Siku zinakatika kila siku ananihimiza nimwoe wakati mi mpango sina, (nakula kisela). Si...
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu sild hataki kunipa mpaka nimuoe kwa ndoa!

    Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025 Nimekaa chini nimefikiria...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

    Nishaurini jamani wana JF nimfanyeje huyu mwanaume ili akasirike anipige nipate nafasi ya kuondoka, Nataka anipige nikimbie
  14. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nikimpa hela hataki

    Anasema anataka hela aliyotafuta kwa mikono yake 😅
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

    Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa. Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hajani-wish happy new year hadi muda huu! Kam-wish nani? Na mimi nimeuchuna tu nione mwisho wake

    Yaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mimi ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
  17. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanipatia zawadi ya mtego wa kuogea

    Nimejikuta nikijiuliza maswali mengi sana. Mida ya asubuhi wakati tunaelekea kazini tumekutana na baba mmoja akiwa anauza madodoki ya kuogea. Mara nashangaa anaitwa na kuanza kuhojiwa ubora wa dodoki hilo. Kama masihara, huyo mwanamke kalinunua na kulitia kwenye kifuko cha shing'mia. Wakati wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi. Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda imemtandika mpenzi wangu vikali

    Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani Other Cost...
  20. JamiiForums Tanzania MREJESHO: Mpenzi wangu kajifungua salama

    kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza 🙏 Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…