covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 5,167
- 11,449
Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge..
Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana kipindi hiko nilikuwa fundi cherehani so vipannde vya vitenge vilivyokuwa vinabaki nilijitengenezea boksa zangu mwenyewe.
Nazipenda sana boksa nilizotengeneza kwa kitenge cha wax zinang'aa vizuri sana.