mpenzi

  1. wilsonwizzy

    Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Natumaini jamiiforums ina watu wenye experience na ujuzi katika mambo mbalimbali, Tatizo langu, Nimerogwa na mpenzi,sasa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke mwingine tofauti nayeye tu. Nikiwa na yeye mashine inasimama safi tu, Lakini nikiwa na mwanamke...
  2. M

    Mpenzi hatimaye mke anatafuwa

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30’s, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi lakini pia nafanya na sekta ya umma kwa vipindi tofauti tofauti. Kiufupi mimi si mrefu wala si mfupi...
  3. Cherecheche

    Anatafutwa mpenzi, Mwanza

    Seran Lamomy Fake P nakwede97 leo dada kazi kwenu changamkieni ndoa.
  4. jamaikatz

    Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

    Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti ?
  5. Damaso

    MchezajÁngel Martín aweka picha ya mpenzi wake kifuani

    Katika ishara ya upendo pamoja na hisia kali ambayo imegusa mamilioni ya watu, mchezaji kandanda wa Uhispania Ángel Martín alivua tisheti yake na kuonesha tattoo ya kushangaza. Tatoo yenye uhalisia wa hali ya juu kifuani mwake akimheshimu marehemu mpenzi wake. Mchoro huo umebeba ujumbe mkubwa...
  6. jamaikatz

    Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

    Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
  7. comrade_kipepe

    Natafuta mpenzi awe single mother

    Sharti uwe na watoto kuanzia 3 kwenda mbeleeeeée. Ooh my god njoo pM
  8. tpaul

    Kijana avunjavunja gari hadharani baada ya kuvurugwa na mpenzi wake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake: Je, wewe unaweza kuvunja gari yako kwa sababu tu ya kuvurugwa na mpenzi wako?
  9. ELI COHEN

    Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

  10. Chenkov

    Unafanyaje ukigundua mpenzi wako kalogwa?

    Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko? Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
  11. M

    Siku mpenzi wangu aliponiambia nyumba ile kuna binti anakupenda sana,lakini ilikuwa na mabinti wengi sikumjua ni yupi

    Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia Basi kuna nyumba moja ilikuwa na mabinti warembo wengi tulikuwa tunatizamana yaani ilikuwa n'gambo ya pili si unajua...
  12. K

    Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

    Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa...
  13. jamaikatz

    Unaongea na mpenzi mara ngapi kwa siku ??

    Ndugu zangu,tupeane ushauri hapa, kwa siku unatakiwa kuongea na mpenzi wako mara ngapi ???
  14. Mafyangula

    Maneno ya kumpa mpenzi hisia kali za mapenzi

    Mapenzi ni matamu sana ukipata anayekupenda na kujali hisia zako. Embu tupunguze kidogo haya mawazo ya nchi yetu maana yamekuwa mengi tulifreshi akili kwa mambo matamu na mazuri ya kimahaba. Nakupenda zaidi ya unavyoweza kufikiria. Wewe ni furaha yangu ya kila siku. Ukiwa mbali nahisi upweke...
  15. sergio 5

    Kwa sasa mimi ndiye mwenye mpenzi mzuri kuliko wote Tanzania

    Siitaji kusifiwa maana nishasifiwa sana Ila ni mwanamke ambae kila mwanaume anamtamani Mara nyingi nimeshawahi kwenda nae BAR kwa heshima watu wanatupisha kutuachia seat tena madingi na heshima zao Tuna tembea njiani watu kupark gari kuomba watusindikize tunakoenda NB: hii ni story kutoka...
  16. Silivian

    Mpenzi Bila Majaribio ni Hatari

    Ifike mahali suala la kuoa kisheria liliangalie kwa ukaribu, mke pia ajitolee walau miezi 6. Kama ilivyo kuomba kazi, kwanza ujitolee wakuangalie..🫵🏾
  17. Money Penny

    Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  18. Loading failed

    Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    Ndugu zangu. Mpaka unakuja kuzeeka na kuingia kaburini kila mtu ana yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe hawezi kuja kumsahau kwenye maisha yake kama chachu ya mafanikio au kutokufanikiwa kwake. Kwenye maisha tunakutana na malaika na shetani walio vaa mwili wa mwanadamu na kamwe huwezi kuja...
  19. Money Penny

    Mpenzi toka Cuba 🇨🇺 ♥️

    Haiyaaaa Ayaaa! Nimerudi 😂😂😂😂 KAMA UNAITAKA HII HADITHI COMMENT NAITAKA NATAKA COMMENTS 200 KWANZA ZINAZOTAKA NILETE HADITHI, NDIO NILETE HADITHI KWA MNAO NIFAHAMU MNANIFAHAMU KWA MNAOPENDA SAUTI YANGU MTANGULIE YOUTUBE CHANNEL YANGU https://youtu.be/RJMpeYwifEU?si=DVBj_N5wTlWHx9_d
  20. Isenye

    Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

    Mko poa walimwengu? Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani Baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake, alikua...
Back
Top Bottom