mpango

  1. Shiboub amekuja tu Kutalii Mapinduzi Cup ila Simba SC hatuna mpango wa Kumsajili..Kasema Boss Try Again

    Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
  2. Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

    Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi. Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
  3. Dk Philip Mpango: Leo nimefanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Mohamed Shein

    Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.
  4. Nadhani Mbowe siyo gaidi

    So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa. Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya...
  5. Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

    Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
  6. UNA MPANGO GANI DECEMBER HII?

    Ndio hivyo tena, December imeshaingia. Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu. Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki. Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje? Poa. Fresh Basi.
  7. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha. Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
  8. B

    Dkt. Philip Mpango akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Singapore, Heng Swee Keat

    16 November 2021 Singapore Naibu waziri mkuu Mh. Heng Swee Keat akiwa na Dr Philip Mpango makamu wa rais wa Tanzania.(Picha kwa hisani ya wizara ya TEHAMA Singapore). Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Philip Mpango yupo nchini Singapore kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Jukwaa la Majadiliano ya...
  9. Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao. Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
  10. Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

    Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo 🗓Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini 🇸🇬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa...
  11. Serikali ya Rais Samia ije na mpango wa kunusuru wasio na kazi

    Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kuhusu ukosefu wa ajira hapa nchini kwa makundi yote yaaani wenye elimu za juu, kati na hata chini ,lakini serikali za awamu zote zijaona kama zimekuja na mpango mkakati juu ya ili kundi ili kulinusuru maana hatua ya sasa hali imekuwa ni mbaya kuliko...
  12. Leo hii Nov 12, 2021 Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha mpango wa kuajili Manesi kutoka Kenya

    Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji...
  13. T

    Je, CCM ina mpango wowote kutufikisha G20 hatimaye G8?

    Kutokana na shauku kubwa ya maendeleo niliyo nayo na ukizingatia kuwa nchi yetu ina kila mazingira ya kutufanya uchumi wa nchi yetu ukuwe kuliko mataifa mengi, ndipo najiuliza hiki chama tulichokipa dhamana kituongoze kina mpango wowote kutupeleka huko!? Au mpango wao ni kupambana na wapinzani...
  14. Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ? Tizama...
  15. S

    CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, wataondoka wao wataicha CHADEMA inadunda

    Nyie wanadamu wenye nia ovu ya kutaka kuiua au kuidhoofisha CHADEMA, tambueni CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, na ndio maana mpaka leo kiko imara licha mabavu na hujuma zote zilizodumu kwa miaka zaidi ya kumi sasa. Mungu haturuhusu kiumbe yeyote avuruge hiki chama mpaka pale mpango...
  16. Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

    Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani. Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na...
  17. Kuna Mpango Unaandaliwa Kutumia Vilabu vya Ligi kuu ili Kuchanja Mashabiki Chanjo ya Corona-19

    Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa. Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili wachanjwe. Kutatokea na kikao cha siri baadhi ya watu wale walio simamisha mechi ya simba na yanga na...
  18. J

    Shaka Hamdu Shaka: Puuzeni propaganda za Serikali kusitisha mpango wa elimu bila malipo

    SHAKA: UUZENI PROPAGANDA ZA SERIKALI KUSITISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna ahadi iliyotolewa kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 ambayo haitatekelezwa ikiwemo mpango wa elimu bila malipo na utatuzi...
  19. SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Hello ,Mimi ni daktari mafunzoni ,karibu katika uzi wangu. Punde tu baada ya wapenzi wawili kukutana kimwili wengi wazo la kwanza kuja kichwani ikiwa hawajapanga kuwa na mtoto huwa ni P2(morning after pill),haijalishi wanakutana mara ngapi,kila wakutanapo ni P2 tu. Hivi hizi ni kanakwamba...
  20. Hii kauli ya Makamu wa Rais ina maana gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…