mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nani anayeihujumu TTCL? Kuna tatizo la kuadimika kwa laini, zinauzwa mpaka 7000

    Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki? Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL: Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala wanakuambia hamna. Ni kweli shirika likose laini ambazo kimsingi ndio mteja na ndio zitachochea...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hongera watanzania: Hata kama wanatuzuia kuandamana mitaani, tuandamane mitandaoni. Maandamano haya ya kisasa yana nguvu kubwa!

    Heko Watanzania kwa mwamko mnaoonesha wa kufuatilia masuala nyeti ya nchi yetu. Laiti tungekuwa hivi miaka 30 iliyopita tungekuwa mbali sana kimaendeleo.. Mnajua ukweli huu?: HAKUNA NCHI YA WAJINGA NA WAOGA ILIYOWAHI KUENDELEA! Ukiona ujinga na woga vinatoweka basi ujue maendeleo yapo karibu...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka ya 60 tulikuwa tunalingana na Korea kimaendeleo, hawa jamaa walijikwaa wapi mpaka tukawaacha mbali kiasi hiki!

    Leo asubuhi nilikuwa naangalia tv moja ya Korea kusini nilishangazwa na maendeleo hafifu ya hawa jamaa na nilipoangalia historia nikakuta kumbe miaka ya Uhuru tulikuwa karibu sawa. Wakati Tanzania tumepiga hatua kubwa kiasi hiki wao bado wamelala usingizi mzito. Sisi tunatengeneza Magari...
  4. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona Usajili wa maana Simba SC na safari hii hakyanani nitampiga Mtu

    Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC )...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabadiliko ya Viongozi Serikalini yataendelea mpaka mstari unyooke

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ndani ya Serikali (Aliyoyaita kucheza draft) yataendelea hadi pale mstari "laini" iliyokaa sawasawa itakapopatikana kwenye kila sekta nchini. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Juni 16 2023, wakati akiwaapisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

    Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe. ========= In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine. “In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna fisadi anayeweza kukwambia amekuja kukuibia, Mafisadi wa EPA waliwahonga mpaka Maaskofu

    Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka viongozi wa dini walihongwa, hivyo tusidanganyike kizembe. Tafadhali Mh Raisi, kwenye hili la...
  8. JamiiForums Tanzania Mpira ulivyo jaa midonini mwa watu mpaka keroooo

    Kwanzia baba mama mpaka watoto wanabet. Kama una bet basi akili zako pia za kubet. Samahani jamani sijaamanisha kuwa tusi..
  9. JamiiForums Tanzania Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

    Binafsi nilijiunga Twitter 2009, kipindi hicho ni mwendo wa internet cafe tu. Kati ya social media platform zilizoanzishwa miaka hiyo basi Twitter ilikuwa tulivu na ilitumiwa mostly with proffecionals, jonals na baadhi ya watu tunaojielewa kiufupi ilikuwa na hoja nyingi za msingi kama ilivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa umelishwa nini mpaka unatetea ufisadi na mkataba wa hovyo kama huu! Huoni aibu kwa taifa lako.

    ⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza. Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu haijapungukiwa akiba ya Dollar tu, mpaka wazee wenye hekima haina!

    Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima! Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba inafaa kwa DP word kupewa mkataba usio na kikomo! Doh!! Kama Taifa, tunahasara kubwa kiasi cha...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ya DP-World, ipite kura ya maoni kwa wananchi, la sivyo tutaendelea kulaani huu mkataba mpaka bahari itapokauka!

    Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mpaka wanaongea na simu wakati mjadala ukiendelea bado tunajiuliza kama hii ni geresha?

    Wakuu, Huu mjadala bungeni ni geresha tu, kutuuza mchana kweupe na watu tupo tu tunafatilia eti tuone maajabu yakitokea. Mnafikiri kitatokea kitu tofauti? Si ni kuridhisha tu watu kuwa kuna taratibu zilifanywa kutoa maelezo kwa wananchi kuwa mkataba huu ulipitiwa vizuri kabla haujapitishwa😂😂...
  14. JamiiForums Tanzania Duh! Hawa waarabu wa Sudan wameamua kuitia nchi yao kiberiti, wanapigana mpaka basi

    Bado imeshindikana kuwapatanisha, ni fulu mnyukano kwa kwenda mbele tena wana mizuka ya kiwaki waki..... A massive fire erupted at the gas depots in southern Khartoum on Wednesday, following intense battles over the control of the Yarmouk ammunition factory involving the use of heavy weapons...
  15. JamiiForums Tanzania Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia. Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari? Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Wakati rasmi wa Tehema kuwa somo la msingi ngazi ya shule za msingi mpaka elimu ya juu

    Tunaishi kwenye ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na tekinoloji, ni wakati sahihi wa serikali kuchukua uhamuzi juu ya somo la tehema kuwa somo mama, hili litasaidia kuchochea mhamko wa ulewa kuanzia mjini mpaka vijijini, kwa vile dunia sasa ipo kiganjani ni vizuri nchi ikaendana na kasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye bei ya choo cha Mbezi Luis yashuka kutoka 500 mpaka 200

    Nianze kwa kutoa pongezi kwa JamiiForums.com kutupazia sauti kuhusu gharama kubwa iliyokuwa ikitozwa kupata huduma ya choo Mbezi stendi ya daladala, hatimaye bei imeshuka na kuwa sh. 200. Bei ya choo ilikuwa kero kubwa sana hasa kwa watu wenye shughuli zao maeneo ya stendi, bei hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC toka jana mpaka leo mna hasira, sana tatizo ni nini?

    Hawa uto vipi kila ukimgusa shabiki wa hii timu utasikia sisi tuna medali nyie mna nini wana fokafoka tu 😆😆😆 Toka mama alipopigilia msumari kuhusu dogo Fei na leo Saidoo kaweka goli tano huku akimpumulia kisogoni Mayele hawa uto wamekuwa na makasiriko ya ajabu, nyie uto mna shida gani si mna...
  19. JamiiForums Tanzania Acheni kujiweka fight mode mpaka sasa Yanga ni Bingwa

    Yanga hoyee, Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali. Kama hautaki, andamana
  20. R

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Habari za weekend, Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae. Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa. Ilikuwa hivi. Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…