Ukitoa Hollywood, Japan ndiyo wanafuata kwa kutoa movies nzuri na za akili, iwe ni action, drama au animation. Na upande wa animations wanaweza kuwa wanaizidi hollywood. Na ubora wao upo toka miaka hiyo tunatawaliwa. Kama unapenda movies zao share hapa.
Hii 11 Rebels ya 2024 ina story na...