Mimi ni mpenzi sana wa movie, hasa za action na animation, siku za hivi karibuni nimejikuta nikipenda kuangalia makosa yanayofanywa na kuachwa bila kuondolewa wakati wa kufanya editing, sasa sijui ni makusudi au ni bahati mbaya hayo makosa yanaachwa hadi tunayaona kwenye movie (Maana najua hadi...