moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
  2. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

    Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Hii ilikuwa ni 30.09.2020 Moshi halafu kuna watu wanasema jamaa hakubaliki "usiyempenda kaja"

    Hii ilikuwa ni 30.09.2020 Tundu A.M Lissu akiwa mgombea Urais wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa 2020 akiingia Moshi Mjini. Watu walimsubiri uwanjani hadi usiku wa saa mbili kasoro hivi. Hawakutaka kuondoka, wakaamua kuruka majoka uwanjani wakimsubiri kumpokea Tundu A.M Lissu. Kumbuka, hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026. Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

    Niko na safari larger zangu hapa ,ni tamu kuliko za mikoa mingine nilizowahi kunywa. Kuna siri gani bia za huku kuwa tamu?
  6. JamiiForums Tanzania Moshi wa Kijani Unasubiriwa kwa hamu

    Hakika ni moshi wa kijani kwelikweli kwa maslahi ya wapiga kura.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kibarua (Moshi)

    Habari, natumaini mpo salama Naishi Moshi Mjini, Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
  9. JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  10. JamiiForums Tanzania Askari 15 wanasurika kifo baada ya gari walilopanda kugongana na fuso

    skari 15 waliopo mafunzoni katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, maarufu zamani kama CCP mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya gari walilopanda kuhusika kwenye ajali ya uso kwa uso na lori aina ya Fuso. Tukio hilo lilitokea jana, Jumanne Agosti 12, 2025 katika eneo la Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Moshi-Arusha tunapata lini SGR??

    Je, unafahamu uchelewaji wako kutasababisha historia mbaya ya CRB? Epuka historia mbaya ya mikopo lipa leo Tsh 800000. Kulipa piga *150*01#>7>4>3 au Mixx by Yas app
  12. JamiiForums Tanzania Wito kwa Wakazi wa Moshi: Fursa Adimu ya Kujifunza na Kufurahia Utalii wa Ndani

    Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi, Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau: Kuna Majina hewa yanapewa hela za TASAF

    Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau kupitia tiketi ya CCM amesaidia kuwasaidia wananchi ambao hawapati pesa za Tasaf na badala yake wanapewa wasiostahili. Chanzo: Kikeke Digital Pia soma ~ Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira...
  14. JamiiForums Tanzania Salim kikeke Mkombozi wa nguruwe Moshi vijijini

    Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa. Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Moshi Vijijini wamkataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake

    Wananchi katika mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi, jimbo la Moshi Vijijini wamekataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake kikamilifu. Akizungumza na wananchi amesema kuwa barabara hiyo haikuwepo kwenye mpango wa lami wa serikali, na baada ya diwani kuleta andiko na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Victor Tesha – Kiongozi Mpya Kwa Moshi Vijijini | Maono, Uaminifu na Uwezo

    UJUMBE: Wana-Moshi Vijijini, Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi wa kisasa usioegemea siasa za maneno matupu. Moja ya majina makubwa yanayosisimua mioyo ya vijana...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

    Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi. Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na...
  18. JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moshi mjini Tunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi!

    Moshi mjiniTunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi! Katika kipindi hiki muhimu cha siasa, Moshi inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa, na moyo wa dhati wa kuwatumikia wananchi, si mtu anayesukumwa na makundi ya kimaslahi au ajenda...
  20. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Moshi unafunga biashara za watu soko la Mbuyuni kwa nini?

    nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi,Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni. Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili,mwaka 2022 na mwaka jana wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…