moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    MUWSA kutoa Sh Milioni 2 kwa watakaotaja wezi wa mita za maji Moshi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imeeleza kuwa katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu, mita za maji 266 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 37.2 zimeibwa hali inayopelekea hasara kwa mamlaka hiyo na usumbufu kwa wateja wake. Hoja ya wizi wa...
  2. A

    KERO Responded Wizi wa Mita za Maji Moshi unaendelea, wanaoiba wanapeleka wapi? Bora Mita zikae ndani ya uzio

    Ndugu zangu tunaomba hili suala la meter za maji kuibiwa Moshi likomeshwe, hili jambo nilikuwa naliona kwa wenzangu kila mara mitaa yao wanaibiwa meter lakin asubuhi ya leo nimekuta mita kama tano zimeng'olewa eneo ninaloishi. Hili jambo napata mashaka makubwa sana wahusika wa hili tatizo...
  3. Mributz

    Toyota hiace inauzwa moshi

    Engine 3L disel Njoo ukaanze biashara 0718909429 Moshi
  4. Inside10

    Same: Mbunge wa Moshi Mjini, Ibrahim Shayo(CCM) anusurika kifo baada ya gari lake kupata ajali katika msafara wa Waziri Mkuu

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahimu Shayo, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka mara kadhaa na kutumbukia korongoni katika eneo la Kirinjiko, Wilaya Same, mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilitokea wakati akiwa kwenye ziara ya...
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Moshi: Mahakama yatoa ahirisho la mwisho kesi ya makosa ya mtandao ya Mchungaji Malisa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeahirisha usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya makosa ya mtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, baada ya mshtakiwa kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo akisubiri msaada wa kisheria kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  6. rich1

    Kero ya Moshi kwenye ofisi yangu kutoka kwenye jiko la chips na mishikaki.

    Habar wandugu..... Pemben na ofisi yangu imeanzishwa biashara ya kuchoma nyama na chips, naomben njia ya kukwepana na kero ya mosh kutoka kwenye majiko.
  7. A

    DOKEZO Ukarabati wa barabara ya Arusha - Moshi unatia walakini; uchunguzi ufanyike

    Barabara ya Arusha - Moshi mwaka jana ilikuwa inafanyiwa ukarabati maeneo ya KIA, King'ori na Kikatiti. Ukiangalia maeneo yaliyokarabatiwa sio yale yenye mashimo sana na kuna maeneo walikarabati kama mara tatu wanamaliza, barabara inapita then wanabomoa wanaanza tena ukarabati. Inakuwa ni kero...
  8. Just Pray

    UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa. Onyo hilo limetolewa...
  9. DuaZaMama

    Mchungaji wa EAGT akutwa amefariki dunia chumbani Moshi

    Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa miaka mitano. Tukio hilo ambalo limetokea Januari 20, 2026 limegunduliwa na mjukuu wake huyo aliyekuwa...
  10. JanguKamaJangu

    Ajali ya magari ya mizigo imesababisha foleni kubwa ya magari Barabara ya Moshi – Arusha kwa zaidi ya Saa 10

    Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari. Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
  11. T

    Padre Atimuliwa Kwenye Mazishi Moshi, Waombolezaji Wamwaga Chakula Kwenye Mazishi ya Kijana Aliedaiwa Kujinyonga Mahabusu Moshi

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  12. Lexus SUV

    Wakuu , naomba ulizia ni basi Gani linatoka mwanza hadi moshi stendi pasipo kuishia njiani Arusha ?

    Kuna mzigo unasafirishwa kutokea mwanza hadi Moshi mjini stendi Msaada wa. Hili !?
  13. Pascal Mayalla

    Pongezi Serikali kudhibiti maandamano, ila msibweteke! Panapo fuka moshi, chini kuna moto. Gen Z wetu wana hoja, wasikilizwe!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili Utangulizi, Hii ni makala muendelezo wa makala ya wiki iliyopita kuhamasisha GenZii wasiandamane ile October 9 Thread 'Wito kwa Gen Z wetu: Disemba 9 tusiandamane, kuandamana bila malengo ni ukichaa. Serikali, tafadhali...
  14. R

    GE2025 Video: Coaster zaidi ya 100 kwenda Moshi kuzika wanaodaiwa kuuawa wakati wa uchaguzi

    Wakuu, Hii Serikali ya Samia ijitafakari sana, mpaka sasa ndugu zetu wengi walipoteza maisha kwenye Maandamano ya Oktoba 29 na idadi bado haijakamilika maana wengine ndo miili inachukuliwa na hao wanaharamu kuzikwa kusikojulikana ili wapoteze ushahidi moyo wangu unavuja damu, vijana wadogo...
  15. M

    GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
  16. Half american

    Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

    Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
  17. tonicimmobility

    GE2025 Hii ilikuwa ni 30.09.2020 Moshi halafu kuna watu wanasema jamaa hakubaliki "usiyempenda kaja"

    Hii ilikuwa ni 30.09.2020 Tundu A.M Lissu akiwa mgombea Urais wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa 2020 akiingia Moshi Mjini. Watu walimsubiri uwanjani hadi usiku wa saa mbili kasoro hivi. Hawakutaka kuondoka, wakaamua kuruka majoka uwanjani wakimsubiri kumpokea Tundu A.M Lissu. Kumbuka, hapa...
  18. Nipe Maji

    Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026. Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
  19. tang'ana

    Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

    Niko na safari larger zangu hapa ,ni tamu kuliko za mikoa mingine nilizowahi kunywa. Kuna siri gani bia za huku kuwa tamu?
  20. funaku

    Moshi wa Kijani Unasubiriwa kwa hamu

    Hakika ni moshi wa kijani kwelikweli kwa maslahi ya wapiga kura.
Back
Top Bottom