Morogoro Urban District (Swahili: Wilaya ya Morogoro Mjini) is one of the six districts of the Morogoro Region of Tanzania. It contains the city Morogoro, capital of the Morogoro Region, and no villages. Morogoro Urban District covers 260 square kilometres (100 sq mi). It is bordered to the east and south by the Morogoro Rural District and to the north and west by Mvomero District
As of 2012, the population of the Morogoro Urban District was 315,866.
Habari wakuu
Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja.
Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama.
Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8
Kwa maswali...
MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini.
Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa.
Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
Naombeni kufahamu maeneo yalio pembezoni mwa mji wa Morogoro (isiwe barabara ya kwenda Dodoma) ambayo naweza kupata appartment yenye vyumba 2 na sebule kwa bajeti ya 100,000/= mpaka 130,000/= kwa mwezi. Kuwe na usafiri wa uhakika kwenda mjini.
Ahsanteni.
Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko.
Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake.
Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
Mamlaka husika i.e. Morowasa na mamlaka zenye mamlaka ya kuwawajibisha Morowasa tunaomba mtufikirie sisi wananchi Morogoro manisapaa, kata ya Kihonda-maghorafani.
Ni wiki ya tatu sasa, maji hayajatoka katika mabomba yetu, kibaya zaidi hatujapewa taarifa yoyote kama kuna tatizo au ni uvivu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.