"Mwabili alitupwa kichakani huko Kinondo, Kaunti ya Kwale majira ya saa 9 alfajiri, ambako alitembea takriban kilomita 3 hadi Diani. Alipowasili Diani, aliweza kuwasiliana na familia yake ambao walitufahamisha, na tukatuma maafisa wetu mara moja." Hussein Khalid
"Alipokuwa Diani, Mwabili...