mollel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LAZIMA NISEME

    MAJIBU UCHUNGUZI: Kukamatwa kwa Tumokinoi Mollel Samaito (Adv.Francis Samaito) na kuwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani Longido. Akaangwa

    TUMOKINOI MOLLEL SAMAITO (Francis Samaiko - PICHANI) aliwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 30/11/2023. madini ya rubi Hakuna mgogoro wowote kati ya mmiliki wa leseni (kijiji cha les mundarara) na mwekezaji huyo (northern crystal ruby limited)...
  2. MK254

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  3. benzemah

    Naibu Waziri Mollel asema Rais Samia amefanya uwekezaji mkubwa Sekta ya Afya

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini ili kuhakikisha afya za wananchi zinaimarika Dkt. Mollel amebainisha hayo wakati...
  4. J

    Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

    Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani Dkt. Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo Maelezo hayo yamepuuzwa na Aida wa Chadema Nawatakia...
  5. B

    Dkt. Mollel kuunguruma UTV kueleza maboresho sekta ya afya Mei 8, 2023

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya. Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
  6. saidoo25

    Video ya Dkt. Mollel kuhusu watanzania kuwa wajinga

    Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata. Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati...
  7. M

    Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

    Duh === "Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
  8. Idugunde

    Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

    Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali. Dkt. Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai CHADEMA walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila...
  9. The Palm Tree

    Askofu Gwajima: Rais alisema chanjo ni hiari. Mawaziri Mollel na Dorothy, wanasema 70% wasiotaka kuchanjwa ni wajinga

    Video imebeba ujumbe wote. Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT... Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema. Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila...
  10. Komeo Lachuma

    Rais Samia, tuondolee hili janga Wizara ya Afya. Mawaziri wako ndio kikwazo cha chanjo

    Hii ni moja ya Wizara ambayo imepata mawaziri Wa Hovyo sana. Hatujui ni nini kinafanya Huyu Dr. Gwajima aendelee kufanya sarakasi zake zisizo na Tija katika Wizara nyeti kama hiyo. Kwa nini huoni kama kuna shida? Wizara hii haihitaji Mipasho, vichekesho na Propaganda. Inataka mtu ambaye yupo...
Back
Top Bottom