Dkt. Mollel: Hakuna mtanzania anayeupinga Mkataba wa Bandari isipokuwa "Muhuni" mmoja tu wa CHADEMA na tutashughulika naye!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani

Dkt. Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo

Maelezo hayo yamepuuzwa na Aida wa Chadema

Nawatakia Sabato Njema!

==============================​
Dr. Mollel: No Tanzanian opposes the Port Agreement except for one "troublemaker" from CHADEMA, and we will deal with him.

Siha Member of Parliament, Dr. Mollel, stated that all Tanzanians accept the Port Agreement except for one troublemaker who has caused Chadema MPs, particularly women, to be frequently in court.
Dr. Mollel has vowed to deal with this troublemaker.

These remarks have been dismissed by Aida from Chadema.
 
Mbunge wa Siha Dr Mollel amesema Watanganyika wote wanaukubali Mkataba wa Bandari isipokuwa Muhuni mmoja tu ambaye amesababisha Wabunge wa Chadema hawa Wanawake wawe wanashinda mahakamani

Dr Mollel ameahidi kushughulika na Muhuni huyo

Maelezo hayo yamepuuzwa na mh Aida wa Chadema

Nawatakia Sabato Njema!
Kweli nimeamin shahada za wasomi ni kama ndom mbele ya CCM!!
 
Hii inadhihirisha kuwa hata wabunge wenyewe hawaelewi wanajadili nini.

Mara wanasema hakuna mkataba bali makubaliano baina ya serikali ya dubai na Tanzania, mara wengine wanasema hakuna anayepinga mkataba wa bandari.

Hata hawa wabunge inaelekea hawaelewi wanachojadili ila mihemko tu au wanaelewa ila kwa sababu wanadanganya at some point wanajisahau
 
Wewe ndo hujitambua ,molel ana PHD ?
Hao wenye PhD mbona sasa wanajichanganya, Kitila kasema hakuna mkataba hapo kuna makubaliano ya ushirikiano baina ya serikali ya dubai na Tanzania.

Halafu wengine kama Mollel wanasema kuwa hakuna mtanzania anayepinga mkataba wa bandari na Dp sasa ukweli ni upi au na hao wenye PhD hawaelewi wanachojadili?
 
Hii inadhihirisha kuwa hata wabunge wenyewe hawaelewi wanajadili nini. Mara wanasema hakuna mkataba wa bunge bali makunaliano baina ya serikali ya dubai na Tanzania, mara wengine wanasema hakuna anayepinga mkataba wa bandari... Hata hawa wabunge inaelekea hawaelewi wanachojadili ila mihemko tu au wanaelewa ila kwa sababu wanadanganya at some point wanajisahau
Nilisema hili
 
Back
Top Bottom