moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
  2. Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  3. T

    Bodi ya Ligi yaondoa ukomo wa kutumia wachezaji 8 wa kigeni, sasa ruksa wote kutumika

    Bodi ya ligi Leo tarehe 12/8/2022 imefanya marekebisho ya kanuni ambayo ilikuwa inazitaka club za ligi kuu kutumia wachezaji nane wa kigeni kwenye mechi moja, Ivyo kuanzia Sasa wachezaji 11 wa kigeni wataruhusiwa kuanza kwenye mechi moja. Wachezaji wazawa wapambane la sivyo wataishia kusugua...
  4. Jumatano yangu na "Mie nataka Laki " ! Older Women '30+' Know what they want!

    Onyo: BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana naandika ili ikitokea nmeingiwa na Tamaa Kwa mdada wa JF, basi apitie post zangu. . KWA JAMAA ZANGU...
  5. Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

    Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
  6. Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

    kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
  7. Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

    Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
  8. CEO Barbara anaingia moja kwa moja "peponi"

    Ikiwa habari ya kesho ni hii basi huyu dada anatakiwa kuingia moja kwa moja peponi. Msije kuniua, nimetumia lugha ya picha tu. Nachotaka kusema kocha ametafuniwa kila kitu!
  9. Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  10. CAF huenda wakaikataa Jezi Majengo, Vifusi, Minara na Machinjio ya Vingunguti ya Klabu Moja Tanzania

    Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti. Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua...
  11. Kwa Viongozi kuvaa Barakoa kwa Kubagua maeneo ni Unafiki amueni moja mzivae muda Wote au msizivae tu kabisa sawa?

    Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote. Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
  12. P

    Onesha kosa moja la Kafulila nami nioneshe makosa 10 ya January Makamba

    Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba, Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale. Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe...
  13. INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  14. L

    Majukwaa ya kuuza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni yasaidia kuuza matunda ncini China

    Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu. Kwa...
  15. Mahakama Nchini Misri yataka kunyongwa kwa muuaji wa Mwanafunzi wa kike kuonyeshwa moja kwa moja kwenye televisheni

    Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili kwa Wanawake Mohammed Adel (22) alihukumiwa kunyongwa baada ya...
  16. Tucta na Serikali lao Moja, wafanyakazi msitegemee jipya

    Hatimaye baada ya lile jambo kugeuka 'kijambo' Raisi wa TUCTA , Ndg Tumaini, alijirekodi kwenye video fupi akisema hata yeye amepigwa na butwaa na hajui kitu Gani kimetokea! Kumbuka baada ya Mei Mosi huyu Rais wa TUCTA akihojiwa na Gazeti la mwananchi alisema 'wao' wanajua kiasi kilichoongezeka...
  17. I

    Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

    Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe. Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki...
  18. Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  19. Wanywaji wa bia washauriwa kunywa chupa moja kwenda nyingine baada ya saa moja

    Hayo yamependekezwa leo na prof. Mohammed Janab, mkurugenzi wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Namnukuu. Nakumbushia tena kunywa pombe chupa moja hadi nyingine ukienda baa kuanzia saa moja hadi saa mbili kunywa chupa mbili za bia. Ule muda uliobakia tazama mpira, tamthilia. Ukitoka...
  20. F

    CHADEMA nendeni na moja Kichwani

    Kuna sehemu nahisi CHADEMA hawaendi na moja Kichwani zile hesabu za darasa la pili, tatu, nne hadi la tano. Bahati mbaya mkiambiwa Ukweli huwa mnapiga kelele bila logic. Hebu CHADEMA kwa unyenyekevu niwaombe mtumie logic bila kusahau hesabu za moja Kichwani. Moja ya jambo ninaloliona halina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…