moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Magufuli alipanga bei ya bidhaa mkasema anaingilia soko, Mama ameacha soko liamue mnasema maharage na nyama bei moja

    Watanzania ni watu wa ajabu sana. Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko. Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja...
  2. JamiiForums Tanzania Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

    Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali. Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
  3. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  4. JamiiForums Tanzania RC Singida azindua kampeni ya upandaji miti milioni 1.5 wilaya ya Ikungi

    RC SINGIDA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MILIONI MOJA NA NUSU WILAYA YA IKUNGI Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba amezindua kampeni ya upandaji miti Milioni moja na nusu (1,500,000) katika Wilaya ya Ikungi. Katika uzinduzi wa kupanda miti Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

    Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
  6. JamiiForums Tanzania Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  7. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje sekta moja ya umma kukataa taarifa za kiupelelezi za sekta nyingine ya umma?

    Hili lipo kwa kiasi kikubwa sana ndani ya taasisi zetu za umma yakiwepo mawizara mbalimbali ikiwepo Ardhi na nyinginezo Unaweza kuwa na tatizo labda mfano, suala la ardhi kutapeliwa ukafuatilia suala hilo mpaka ukalipeleka katika vyombo vya umma vya upelelezi navyo vikafanya kazi yake vizuri...
  9. JamiiForums Tanzania Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

    Huu ni muujiza naweza kusema hivyo Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26 Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
  10. JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

    Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa. Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa. Jamani, hivi huyu mtu angekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

    Watu wanne wamefariki dunia kufuatia ajali ya lori na gari dogo aina ya Toyota Spacio katika eneo la Kwambe Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha barabara kufungwa kwa saa kadhaa. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa simu leo Januari 14 Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Majid Mwanga...
  12. JamiiForums Tanzania Quuen of the south moja ya series Bora Sana itazame hii.

    Wakuu nimetazama hii series mwanzo mwisho kupitia simu yangu. Ukiona Hilo jina utasema inahusu wanyama labda, Kwa kweli ni series nzuri Sana inayo husu madawa ya kulevya mitifuano ya kufa mtu, kuzungukana ndio kabisa wapo na uhalisia kabisa na Mambo ya madawa hawa wa Mexico hii wamecheza. Mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu...
  14. JamiiForums Tanzania Ushawahi kuishi na mtu usiempenda / unaemchukia nyumba moja?

    Yani unaishi na mtu, ukimuangalia unasikia hasira, kila anachofikifanya kinakukera, did you? Waeza omba dunia iyeyuke
  15. JamiiForums Tanzania Imani yangu ni kuwa Tanzania moja, Serikali moja itatutoa

    Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena. Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
  16. JamiiForums Tanzania 2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

    WanaJF, Heri ya Mwaka Mpya 2023! Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea. CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025...
  17. JamiiForums Tanzania William Ruto wa Kenya moja ya wakopaji maarufu barani Afrika kwa sasa

    WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA. George Michael Uledi. Kyela,Mbeya. Januari 9,2023. Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto...
  18. JamiiForums Tanzania Kilo moja ya Vitunguu yafikia Tsh. 30,221 Ufilipino

    Ufilipino inatazamia kuagiza vitunguu kutoka nje kwa ajili ya kuongeza usambazaji na kupunguza bei ya juu ambayo imechangia mfumuko wa bei wa miaka 14. Bei za reja reja za vitunguu vyekundu zimepanda hadi kufikia Tsh. 29,654 kwa kilo katika siku za hivi karibuni katika masoko ya Manila, bei...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume kabla ya kumhonga mdada pesa/kumhudumia, tujiulize hili swali moja tu

    Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada? Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya laki 3, je yeye angekuwa na uwezo na pesa za kutosha, hlf ninyi ni wapenzi, huyo mdada angekununulia...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania iwe na ligi moja, Kombe la Mapinduzi ni mzigo kwa timu

    Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu ya visiwani lakini Iko kwenye ligi ya Spain. Mashindano ya mapinduzi cup Yana lengo la kudumisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…