Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada.
Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio ulikuwa unapita, si matatizo.
Maisha hayana huruma kwa anayesubiri sana. Yanamheshimu anayechukua...