Niaje wajuba!
Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje,
Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo haijalala, uzuri kinachomsaidia ni kwamba jamaa ana kibamier,
Mpeni ushauri mwanetu