Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali.
Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
Kwa zile timu dhaifu ambazo kila mara huwa zinafungwa ili kuwepo na usawa.
Mnaonaje timu mbili zikacheza dhidi ya moja .
Yaani mfano simba icheze dhidi ya jkt na pamba.
Au Man City icheze dhidi ya Brighton ba Leeds.
Brazil dhidi ya Rwanda na Burundi yaani kuwe na fareness kidogo .
Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi hiki ni mashetani tu. Sasa tuweke imani mbele na tuwndelee kukaza hivi hivi
Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto.
Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake.
Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume.
Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume.
All in all, wajue hatudanganyiki.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel:
Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu
Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri.
Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri kuwekwa kapu Moja na Kenya na Uganda alitukosea sana.Vinchi Hadi Leo hii vinapigania njaa na kuomba omba chakula wataweza kuandaa mashindano hao?
Kenya Hadi hela ya ada wameenda kukopa ndio wakalipa hapo juzi.Wana uwanja mmja tuu ,viwanja vya mazoezi...
Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale:
Ingia ukumbini
Cheza kidogo
Kata keki
Tambulisha ndugu
Toa zawadi
Nenda kwenye msosi
Muziki
Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape)
Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama...
Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI?
Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu
Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
kuna utafiti naufanya, naomba kuwashirikisha watafiti wenzangu katika research hii muhimu hapa jukwaani.
hivyo kwa heshma na taadhima naomba mtu ataae ni mention kwenye post yeyote zaidi ya mara moja.
na pia nitawaletea mrejesho baada ya kukamilisha utafiti huu.
Hivi wakuu mnaionaje Marekani
Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything
Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli
Mfano kwenye
1. Entertainment
Marekani mziki wao ni always Global hits...
TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote.
Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili.
Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini tuna reserve ya kutosha kwa bei ya zamani!!
Ikiwa nchi ilikua na akiba ya kutosha tulitegemea bei...
"Nimebakiza wiki moja tu ya kuishi, nisaidieni!" Hii ni kauli nzito inayoonesha kukata tamaa, kutoka kwa kijana Said Abdallah (33).
Said anapitia kipindi kigumu, siku zake za kuishi zikiwa zinahesabika kutokana na ugonjwa unaomsumbua.
Saidi anakabiliwa na uvimbe unaokua kwa kasi kubwa, na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.