mohamed

Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Khalid Mohamed - Waziri wa Ujenzi (SMZ): Tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo, Teknolojia inakua, faragha za Watu zinaingiliwa

    “Sasa hivi tunaoishi katika Dunia hii tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo.” Ni kauli ya Dkt. Khalid Salumu Mohamed, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Serikali ya Mapindizi Zanzibar (SMZ) aliyoitoa wakati akifungua rasmi mafunzo ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa...
  3. JamiiForums Tanzania Kweli kabisa Mdogo wangu Mohamed Hussein Tshabalala umeamua kwenda Yanga SC na kutuacha Simba SC na leo huenda ukatambulishwa nao rasmi?

    Sawa bhana Kaka yako nikutakie kila la Kheri na naamini huko unakoenda yoyote yule mtakayegombania nae namba hatougua mara kwa mara, hatopatwa na matatizo ya Macho na Wewe safari za kimya kimya za kwenda Tanga na Morogoro hazitakuwepo tena.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Simba aliondoka Deo Njohole, Method Mogella ‘fundi’, Hamis Gaga nini Mohamed Hussein Tshabalala, msikuze mambo

    Kama kuna wachezaji ambao ilituuma kuondoka Simba basi ni hawa wafuatao, Deo Njohole, marehemu Method Mogella ‘Fundi’, marehemu Hamis Gaga Gagarino, Zamoyoni Mogella let alone akina Chuji, Chama, Barnabas Sekelo, nashangaa sana media zinamkuuuza Zimbwe, kijana uwezo wake ni wa kawaida sana ss...
  5. JamiiForums Tanzania Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

    Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC. Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
  6. JamiiForums Tanzania Mohamed Zimbwe ni mwananchi

    Dominic Salamba,anasema Zimbwe kasaini yanga, duh kama kweli simba watalia sana.
  7. JamiiForums Tanzania Na anaweza pia Kuinunua Yanga SC yote, Wanachama na Mashabiki na akawalipa Mishahara akina Hersi Said na Gharib Said Mohamed Kudadadeki.....!!

    Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya Shilingi Milioni 40 hadi Milioni 75 kwa Mwezi. Kuna Timu (nimeisahau Jina) juzi juzi tu hapa...
  8. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed Asema CCM Itaendelea Kuwa Daraja Kati ya Serikali na Wananchi

    SHEMSA MOHAMED ASEMA CCM ITAENDELEA KUWA DARAJA KATI YA SERIKALI NA WANANCHI Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndugu Shemsa Mohamed amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuwa daraja kati ya Wananchi na Serikali katika kuhakikisha kuwa changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi na wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania Iz al-Din al-Haddad aliyechukua mikoba ya Mohamed Sinwar naye leo Ameangamizwa bila huruma!

    kuna habari zimeenea sana hapa Tel Aviv kuwa Iz al-Din al-Haddad aliye chukua mikoba ya Mohamed Sinwar naye ameangamizwa alipokuwa kwenye maficho yake, Habari hizi zimeenea sana tv na radio zinazungumzia sana shambulio lililoutoa uhai wa Gaidi huyo huko Gaza. Makumi ya bunker bunkers zilitumika...
  10. JamiiForums Tanzania Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

    Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas. Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!! Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar naye Jana aliangamizwa!!!

    Mdogo wa mwisho wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar ambaye alikuwa Professor katika chuo kiislamu huko Knan Younis naye jana alilazimishwa kuwafuata ndugu zake walioangamizwa na majeshi ya Israel. Zacharia Sinwar aliuwawa jana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa huko Khan...
  12. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi kiongozi Mwandamizi wa Hamas Mohamed Sinwar aliangamizwa

    Kituo cha televisheni cha Saudi Al-Hadath kinaripoti kwamba mwili ya kiongozi mkuu wa Hamas Mohammed Sinwar na wasaidizi wake kumi ilipatikana ndani ya handaki huko Khan Yunis, kulingana na vyanzo. Ripoti hiyo pia inadai kuwa Mohammed Shabana, kamanda wa Kikosi cha Hamas cha Rafah Brigedi...
  13. JamiiForums Tanzania Mohamed Hussein na Abdullazak ni Vimeo simba

    Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Mohamed Hussein anaweza Kiingereza kweli?

    Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mwameja Tanzania one 1993

    Usia wa Mohamed Mwameja kwenda kwa Simba kupitia kwa Mohamed Husein,kwamba wakaze na wacheze kwa moyo na nidhamu. https://www.facebook.com/share/r/1CCPnYjL7P/
  16. JamiiForums Tanzania Mauritania : Rais wa Zamani Mohamed Ould Abdel Aziz Amehukumiwa kifungo cha Miaka 15 jela

    Mahakama ya rufaa ya Mauritania Jumatano imemuhukumu Rais wa zamani Mohamed Ould Abdel Aziz kifungo cha miaka 15 jela na kutoa faini ya dola milioni 3, na kuongeza kifungo cha awali cha miaka mitano kilichotolewa mnamo 2023 kwa mashtaka ya ufisadi. Aziz, jenerali wa zamani wa jeshi ambaye...
  17. JamiiForums Tanzania Waliomsindikiza Mateka Edan Alexander kumkabidhi kwa Red-Cross nao wameangamizwa walikuwa na Mohamed Sinwar!!

    Fyeka fyeka ya Israel huko Gaza imewakumba viongozi wengi wa Hamas akiwemo msemaji Mkuu wa Magaidi hao!!!
  18. JamiiForums Tanzania Je Mohamed Sinwar kaingia mtegoni? kuna uwezekano keshadedishwa akiwa Hospital

    IDF imejaribu kumuua kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar katika hospitali ya Gaza, duru zinaiambia Shirika la habari la 'Post' Maafisa wa usalama wameamini kwa muda mrefu kuwa Mohammed Sinwar angechukua nafasi ya kaka yake, Yahya Sinwar, kama kiongozi mpya wa Hamas. IDF mnamo Jumanne 5th May 2025...
  19. JamiiForums Tanzania Mohamed Said: Uislamu Ulivyounganisha Na Kujenga Umoja Wa Wananchi.

    UISLAM ULIVYOUNGANISHA NA KUJENGA UMOJA WA WANANCHI (DINI ILIVYOWAUNGANISHA WATANGANYIKA DHIDI YA UKOLONI: NAFASI YA DUA NDANI YA TANU VISOMO VYA QUR'AN NA DUA ZILIZOFANYIKA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA) Inategemea watu watakavyoitumia dini. Dini inaweza kutumika kuwaunganisha watu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kwaninia Waislamu wa dhehebu la Mashiha huwawabeza na kuwakashfu baadhi ya Maswahaba wa Mtume ?

    Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu umeletwa kwa wenye hekima na tafakuri ya kina wakiwemo Wanazuoni Kwanini waruhusiwe kwenye nchi takatifu ya Maka na Madina kama ni kweli wamekuwa wakitoa kauli zisizofaa dhidi ya Maswahaba walioulingania Uislamu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…