mohamed said

Ismail bin Mohamed Said (Jawi: اسماعيل بن محمد سعيد; born 7 September 1965) is a Malaysian politician and the Member of the Parliament of Malaysia for the Kuala Krau constituency in Pahang. He is a member of the United Malays National Organisation (UMNO) party in the governing Barisan Nasional coalition. He also former chairman of Perbadanan Tabung Pendidikan Tinggi Nasional.
Ismail was elected to Parliament in the 2004 election, winning the UMNO-held seat of Kuala Krau, and was re-elected in 2008 and 2013. Before entering Parliament, Ismail was an official in UMNO's youth wing and operated a law firm in Temerloh.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Morning Trumpet Azam tv 9 December: Mohamed Said na historia ya Uhuru wa Tanganyika - 1

  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Morning Trumpet Azam TV 9 December: Mohamed Said na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Lindi yamzika Sheikh Mpigania Uhuru Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi

    Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi. Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu. Tusingeliweka jeneza la mwalimu wetu mabegani na vifua mbele tukijua kuwa tunamzika shujaa aliyepigania uhuru wa...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2022: Kevin Lameck Bongo TV na Mohamed Said Sehemu ya Pili

  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Azam TV Kipindi Maalum Cha Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Jaffar Mponda na Mohamed Said Leo Usiku Saa Tatu

    ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953. Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953. Mwandishi kulia akiwa nje...
  7. Airfryer

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Mohamed Said, Kwanini majina ya ukoo maeneo ya Pwani yalikuwa?

    Pwani ya Dar es Salaam ambako watu walimpokea muarabu wengi wao majina ya ukoo hawataki kuyatumia na wengi hawayajui, Mfano kuna watu waliitwa Juma Tambaza na Tambaza ni jina la ukoo. lakini Wengine wote huwa siwaelewi. Majina yetu ya ukoo yapo kabla ya mkoloni na dini, kwani tulikuwa na maisha...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania A Page From: ''Under The Shadow of British Colonialism in Tanganyika'' by Ally Sykes and Mohamed Said

    Leo nimepokea picha kutoka Maktaba ya Picha ya Ally Sykes. Nimeona niiweke picha hiyo hapa pamoja na ukurasa mmoja kutoka mswada ambao mimi na marehemu mzee wangu tuliukamilisha wakati akiwa hai. A PAGE FROM: ''UNDER THE SHADOW OF BRITISH COLONIALISM'' ALLY SYKES AND MOHAMED SAID Kwame Nkrumah...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania JF na makala za Mohamed Said miaka 10 iliyopita

    JAMII FORUMS NA MAKALA ZA MOHAMED SAID:UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANGANYIKA/TANZANIA ''HISTORIA YA UHURU ISIMULIWAVYO NA MOHAMMED SAID YAKOSOLEWA'' Mjadala huo hapo juu katika Jamii Forums ulivunja rekodi kwa kuwa ulidumu kwa miezi sita mfulululizo na ulichangiwa na watu zaidi ya 900,000...
  10. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Nimchokoze Mohamed Said juu ya historia ya Denis Phombeah; ni vipi alishiriki katika uhuru wa Tanganyika?

    Wadau, Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake, ukimchokoza na kifurushi cha jero, yeye anakuletea kifurushi cha 50k. Hebu leo kwa faida ya wasomaji...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes. Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mohamed Shebe: Mpiga picha wa TANU na Julius Nyerere toka 1954

  13. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania MOHAMED SAID: Alifungwa enzi za Nyerere, asamehewa na Rais Samia-2

    Pamoja na imani yake kuongezeka Mohamed alikuwa amekata tamaa ya kuishi, hivyo wakati wote akiwa gerezani hakutaka kujifunza ujuzi wowote akiamini hatoweza kuutumia kwa sababu kilicho mbele yake ni kunyongwa hadi kufa. Hilo likamfanya ajikite kwenye shughuli anazopangiwa kila siku, lakini si...
  14. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

    Usiku wa Februari 24 mwaka 1982 utabaki kwenye kumbukumbu ya kudumu kichwani kwa Mohamed Said (70) kutokana na tukio kubwa lililomkuta siku hiyo na kumfanya akae gerezani kwa miaka 40. Kama angejua kinachokwenda kumtokea siku hiyo huenda angebadilisha mwelekeo, lakini kwa kuwa hakutambua...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mohamed Shomvi Mlimani TV na Mohamed Said

    Mohamed Shomvi Mlimani TV anamuhoji Mohamed Said kuhusu historia ya Tanganyika:
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mohamed Shomvi wa Mlimani TV na Mohamed Said: Sikukuu za Kumbukumbu

    MOHAMED SHOMVI MLIMANI TV NA MOHAMED SAID: SIKUKUU ZA KUMBUKUMBU Leo asubuhi nilialikwa Mlimani TV kwa ajili ya mazungumzo kuhusu sikukuu za kumbukumbu na maadhimisho ya kitaifa. Mtangazaji Mohamed Shomvi alinipitisha katika kumbukumbu ya Saba Saba siku kilipoasisiwa chama cha TANU tarehe 7...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Fungua kitabu na mohamed said TBC Jambo Tanzania

  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mohamed Said: Maisha, Kazi na Historia yake

    Mfahamu Mohamed Said mdau wa JF ambe ni JF expert Member tangu 2008 Mohamed Said Salum (alizaliwa tarehe 25 Februari, 1952, Gerezani, Dar es Salaam) ni mwandishi na mwanahistoria kutoka nchini Tanzania. Ametunga vitabu mbalimbali, lakini anafahamika zaidi kwa kitabu chake cha "Maisha na Nyakati...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na mimi

    MAALIM SEIF NA MIMI Nakumbuka kama jana vile siku niliyokutana na Maalim Seif kwa mara ya kwanza uso kwa uso Starlight Hotel mwaka wa 1992 na aliyenijulisha kwake alikuwa Sheikh Khalifa Hamisi. Siku zile Sheikh Khalifa alikuwa anaendesha gazeti la Mizani na mimi nikiwa mmoja wa waandishi wake...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Zumari: Jaffar Mponda na Mohamed Said

Back
Top Bottom