Ndugu zangu, wanajukwaa letu pendwa. Salaam!
Kila mara tunashuhudia humu mijadala mikali inayopelekea watu kurushiana maneno ya kejeli, dharau na wakati mwingine matusi. Mwisho wa yote, wanaojihusisha na lugha chafu wanajikuta wamepigwa ban – wengine kwa muda, wengine moja kwa moja, halafu...