mobile money

  1. mzee_wa_mishemishe

    Developer au coder anahitajika

    Nihitaji developer(coder) kwaajili ya kumalizia na kuendesha project hii Welcome to ipesa - ipesa ni payment gateway system. kikubwa ninachohitaji ni coder ambae ata intergrate mobile payment katika hii system. paypal, localbitcoin tayari tume intergrate km payment gateway kwaajili ya deposit...
  2. maryedow

    Tanzania yaongoza duniani kwa utoaji wa huduma za kifedha kwa kutumia simu

    Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza duniani kufanikiwa katika utoaji wa huduma za kifedha kwa kutumia mitandao ya simu. Hayo yameelezwa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Eng. James Kilaba katika mkutano wa kimataifa wa wadau wa mawasiliano...