mo dewji

  1. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Hivi visomo huwa vinasaidia?

    Mara nyingi nimeona matukio kadhaa ya watu kutishiwa kufanyiwa KISOMO. Juzi wamefanyiwa KISOMO waliomteka MO, lakini mpaka sasa hawajapatikana. Huwa najiuliza hiki KISOMO kimeshawahi mvua nguo mtu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi.. Mwenye habari kamili atujuze. ====== UPDATES: Mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji)...
Back
Top Bottom