Hili ni hoja nzito na ya msingi, hasa kwa mtu anayefuatilia masuala ya umiliki wa vilabu vya mpira wa miguu, na hasa mgogoro unaoendelea kuhusu uendeshaji wa Simba SC. Tuchambue kwa kina:
1. Tafsiri ya Thamani ya Hisa na Uwekezaji
Mo Dewji alisema alinunua asilimia 49 ya hisa za Simba kwa...
"Binafsi nimemsikiliza Tajiri ila sijaona utofauti wa kile alichoongea msimu uliopita na leo.
1. Mo anasema ametoa zaidi ya Tsh 80b, inawezekana ni kweli Ila atwambie na Yeye Simba imemtengenezea kiasi gani?....maana kila mwaka anatumia Brand ya Simba kutangaza bidhaa zake.
2. Mo amesema kila...
Mohammed Dewji, mwekezaji mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, amesema klabu haijapotea na iko kwenye mchakato wa kujijenga upya. Katika ujumbe kwa mashabiki, Dewji amesema huu si wakati wa lawama bali mshikamano na hatua chanya.
Ameeleza kuwa Simba imejenga kikosi kipya, kuimarisha benchi...
Msimu wa 2025/26 unakaribia kwa kuanza, lakini jambo la kushangaza ni ukimya wa mfadhili mkubwa wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji). Mashabiki wengi wa Simba wanajiuliza, ni kipi kipya Mo Dewji anakiandaa? Au bado anatafakari mbinu mpya ya kuwashawishi na kuwadanganya kuhusu mafanikio ya...
Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe.
Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar.
He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
Katika soka la Tanzania, pesa imekuwa silaha kubwa katika kujenga na kuendeleza vilabu vya ligi kuu. Katika misimu miwili iliyopita, GSM, mdhamini wa Yanga SC, alidhamini vilabu zaidi ya saba, akionyesha nguvu yake katika soko la udhamini wa soka.
Lakini sasa, Mohamed Dewji ameibuka na mpango...
Nimeandika sana Threads zako hapa JamiiForums na Kukushauri mengi ila una Kiburi, Ushamba na Upumbavu mwingi. Haji Manara hivi kuna Mtu ambaye hajui na nakumbuka hata Baba yako alishakuambia kuwa Wakosee wote ila siyo Mo Dewji kwa Mema ambayo Tajiri wa Watu alikufanyia (hasa Kukufungulia Dunia)...
Wanasimba,
Jean-Charles Ahoua ni mmoja wa wachezaji waliotupa sababu nyingi za kushangilia msimu huu, licha ya vyote amekuwa sehemu ya mafanikio yetu.
Kwa kosa moja lilitokea tunaweza kumsema vibaya leo, ila tukumbuke: hata mastaa wa dunia kama Fernando Torres waliwahi kukosa magoli ya wazi —...
Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.
Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni.
Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka...
Jarida la Forbes Mwaka 2025 limemtaja Mtanzania Mohamed Gullam Dewji “MO Dewji” katika orodha ya mabilionea wa Afrika, listi mpya iliyotolewa na Forbes, Machi 29, 2025, imeonesha MO anashika nafasi ya 12, akiwa na utajiri wenye thamani halisi ya mali ya Dola za Marekani Bilioni 2.2 akipanda kwa...
Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC.
Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI.
Credit: Nassib Mkomwa
Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha...
Wakuu
"Mimi ni nabii nilishawaambia watu kwamba Haji atakuja Yanga siku moja na kweli Haji Manara amekuja Yanga, mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga."
Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji.
Tajiri, nina neno moja kwako.
Msimu huu umefanya mambo makubwa sana pale Simba. Kikosi kinaeleweka, heshima inarudi katika ligi ya ndani na kimataifa.
Kuna uhuni mmoja ambao nafahamu unaujua maana malalamiko haya yamekuwepo kwa...
Kufuatia matukio ya udukuzi wa akaunti za mitandaoni yanayosababisha utapeli, wananchi wametakiwa kujifunza elimu ya mitandao ili kuepuka kuingia kwenye majanga.
Hayo yanakuja kufuatia tangazo la mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu Mo, lililotolea leo Februari 6, akiwaomba radhi wasomaji wake...
Leo, Februari 5, 2025, majira ya saa 10 jioni, akaunti ya X ya mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji (@moodewji) imeripotiwa kudukuliwa. Wadukuzi wameweza kuchapisha ujumbe wenye kiungo kinachodaiwa kuwa na madhara kwa watumiaji.
Inashauriwa kwa nguvu zote kutojibu wala kufungua kiungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.