mnyama

Asperoris is an extinct genus of archosauriform reptile known from the Middle Triassic Manda Beds of southwestern Tanzania. It is the first archosauriform known from the Manda Beds that is not an archosaur. However, its relationships with other non-archosaurian archosauriforms are uncertain. It was first named by Sterling J. Nesbitt, Richard J. Butler and David J. Gower in 2013 and the type species is Asperoris mnyama. Asperoris means "rough face" in Latin, referring to the distinctive rough texture of its skull bones.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Mnyama Simba SC

    Me ni Yanga lialia ila kesho nataka mnyama apate matokeo mazuri dhidi ya Raja Casablanca! Timu zetu zimefika hatua nzuri sana kimataifa na ningependa kuona zinasonga mbele zaidi ili tuweke historia! 😂 Kuonesha nipo serious naweka mkeka Sokabet, asa ole wenu mnichanie mkeka wangu! Tarehe 14...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani walivyotumia viungo vya mnyama kutabiri yajayo

    Sijui kama umewahi kuexperience jambo kama hili, Wazee wa zamani waliweza kutumia viungo vya ndani vya mnyama kupredict yajayo ama jambo lolote BAYA lijalo. Mnyama kama mbuzi angechinjwa na wajuzi wangetumia viungo vyake vya ndani kufanya utabiri wa mambo yajayo, sijui kama wewe umewahi...
  3. JamiiForums Tanzania Simba ni Mnyama, mwarabu atapigwa Sambaroketo

  4. JamiiForums Tanzania Pale kinyesi cha mnyama kinapotengenezwa kupata kinywaji ghali Duniani

    Habari zenu wakuuu. Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat". Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tuliamua kumtumia twiga mnyama legelege kwenye nembo ya taifa?

    Twiga ni mnyama legelege, mzuri anayevutia lakini hafaidiki na uzuri wake. Mrefu, anaona mbali na anaishia kuona tu. Kwa kweli utambulisho wowote unaoamua ukutambulishe utabeba taswira na tabia yako. Tanzania ni taifa ambalo ni legelege, haliko aggressive kwa lolote. Watu wake ni masikini...
  6. JamiiForums Tanzania Ismael Sawadogo ni mnyama!

    timu atokayo ni Difaâ El Jadida Morocco. Umri: Feb 28, 1996 (26) Uraia: Burkina Faso Nafasi: kiungo mkabaji
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

    Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama. Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana. Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kama nyumbani kuna panya na huna paka fanya hili utakuja nishukuru

    Wadau, moja kwa moja kwenye mada: 1. Utangulizi. Maendeleo ya teknolojia huenda yamewafikia panya wasumbufu na waharibifu majumbani mwetu. Siku hizi wanakwepa mitego, wanatambua na kukwepa sumu na huku wamezidisha chokochoko na kujengeana hasira. Mtu ukiwa na bunduki waweza jikuta unamfyatulia...
  9. JamiiForums Tanzania Mnyama huyu ana sifa zipi anuwai?

  10. JamiiForums Tanzania Timu ya As Vital club huko iliko inaomba isipangwe kundi Moja na mnyama mkali Simba

    Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital. Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaomuonea wivu Majaliwa ( maja mnyama ) ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana

    Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe. Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
  12. JamiiForums Tanzania Maana ya maneno niliyoambiwa Mzee Afande

    Kuna kipindi wakati niko Rombo nakumbuka nilienda kumuoji mzee mmoja anaitwa mzee Afande kuhusu maswala ya zamani. Yule mzee alinambia kuwa kat ka maisha yake amemwona babu yangu (nami namfahamu), baba yake babu yangu (alifariki 1983 simfahamu) na babu yake baba yake babu yangu (simfahamu). Na...
  13. JamiiForums Tanzania Mitsubishi Outlander 2022, mnyama Mpya Sokoni

    Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022 Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya...
  14. JamiiForums Tanzania Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
  15. JamiiForums Tanzania Nakupa siri ila usimwambie mtu, Warabu kutua Dar kucheza na Mnyama

    Simba day is Loading, wanasimba mujiandae kwani chini ya kapet kuna shoo shoo! lakufa mtu.... Kwan Esperance... Mwaisa Watunisia wanatua kukipiga kwa mkapa! Halafu! Hawa Uto mbona hawana furaha....? 🤗🤗🤗🤗🤗🤗
  16. JamiiForums Tanzania Mohammed Ouattara ni "Mnyama"

    Chukua hiyo kwanza
  17. JamiiForums Tanzania Hapa Zanzibar tunapiga "mnyama" kama kawa japokuwa adimu

    Chanzo: NBS
  18. JamiiForums Tanzania Mnyama twiga namuona kama mtukufu sana hastahili hata kuwindwa na simba

    Ndugu zangu nampenda Ssana twiga. Napata shida sana anapowindwa na simba. Simba angejua angewinda wote akamuacha twiga. Sababu kubwa ni upole wake na upekee twiga is a beautiful animal Simba please don't hunt twiga. Fikiria fisi akimsumbua twiga hell no hawa akina 🦊 wawawinde wanaostahili...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibali cha kusafirisha mnyama nchini

    Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei. Sasa ninamtafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu nguvu za mnyama simba

    SIMBA si mnyama mrefu kuliko wote. SIMBA sio mnyama mwenye kilo nyingi kuliko wote. SIMBA sio mnyama mwenye akili nyingi kuliko wote. Na pia SIMBA sio mnyama mkubwa kuliko wote. Lakini cha kushangaza, SIMBA ndie mfalme wa Msituni. Ikiwa sifa zote hizo hana je, ni kipi kinachomfanya SIMBA awe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…