Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
Kutoka Mtandao wa X (Twitter)
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)
Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba...
Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi.
Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake.
Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu...
Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo.
Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu.
Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe...
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga...
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo.
Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu.
Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa...
Aslaam,
Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo.
Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza pita na mkeo?
Kama hivyo ndivyo basi nadhani wanaume ifike kipindi tujue kwamba kama sisi hatuwezi...
Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka.
Chanzo: mwanaspoti_tz
Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat.
Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat.
Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI.
Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef.
https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj
https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd
https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
Hapa kuna orodha ya baadhi ya marais wa kike duniani, wasifu wao, na bara wanakotokea. Muhimu ni kunote kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye rais pekee wa kike barani Afrika kwa sasa.
1. Samia Suluhu Hassan - Tanzania (Afrika)
• Wasifu: Samia Suluhu alizaliwa mwaka 1960 Zanzibar, Tanzania...
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Hesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:-
..⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️
𝟰𝟬 𝗠𝗲𝗿𝗸𝗮𝘃𝗮 𝗧𝗮𝗻𝗸𝘀 𝗗𝗲𝘀𝘁𝗿𝗼𝘆𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗛𝗲𝘇𝗯𝗼𝗹𝗹𝗮𝗵…
Hezbollah has announced the destruction of two...
Je Wajua?
KISANGATI - Ni mtu mwenye tabia ya kutopenda kutumia na kutoa kilicho Chake Kwa wengine (Kwa mujibu wa BAKITA)
Wakuu ni mwaka mmoja na zaidi Sasa sijafanya Uzinzi/Uasherati na bado Niko poa kabisa!
Kitu ambacho namshukuru Mungu kunipatia ni kutokuwa na tabia ya kupenda wanawake...
Hili limeshangaza sana hakuna hata mmoja ametoboa kwenye 100 bora..huenda kwenye milioni 200 bora labda mkenya mmoja.
Osama ameshika namba 43, Hans Zimmer (na. 73) The master piece mimi bado naamini ni Genius licha ya kwamba ameshindwa kuishi na wanawake kwa kutajarisha zile background music...
Unaweza ukalichukua poa poa hili swala Ila litakapokukuta ndio utanielewa vizuri ujue zamani mwanaume ata kama Wote mlikuwa wafanyakazi wa serikali kulikuwa kuna ule urahisi wa mwenza wako kuhamia kikazi pia mahali ulipo kutokana na ile capacity ya chance tofauti na Sasa kuomba uhamisho si jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.