mlinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  2. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Maradona: Hakuwepo, hayupo na hatokuwepo mlinzi kama Franco Baresi

    🗣️ “Baada ya Mchezo dhidi ya Milan, mshambuliaji Nyota wa SSC Napoli Armando Diego Maradona anaeleza kuwa, hakuwahi kutokea, hayupo na hatokuwepo Mlinzi kama Franco Baresi. Hii jezi sina budi kuivaa hapahapa Uwanjani kwa maana ni jezi ya Mlinzi bora kuwahi kutokea. Nina jezi nyingi lakini hii...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mlinzi aliyehukumiwa kifo kwa Mauaji ya Mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica aachiwa huru

    Mahakama imemuachia huru aliyekuwa mlinzi wa Shule ya Sekondari Scolastica, iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Hamis Chacha (34) aliyehukumiwa kifo kwa kosa la kumuua kwa makusudi mwanafunzi wa shule hiyo, Humphrey Makundi. Chacha ameachiwa huru baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama...
  4. livewise1

    JamiiForums Tanzania Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

    Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa-handle wanawake wao. Amesafiri na mkewe sehemu kibao, mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba mengi kwa bidada. Yamemkuta leo, amegongewa & maokoto anaporwa. Anatafuta mshauri sasa! Fear women of...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Lionel Messi anamlinda hadi wakati wa kushangilia uwanjani

    Mlinzi huyo Yassine Chueko ambaye ni Mwanajeshi wa zamani wa Marekani ameajiriwa na Inter Miami kwa mapendekezo ya mmiliki wa Klabu hiyo, David Beckham kumlinda Lionel Messi popote anapokwenda akiwa katika majukumu ya kazi yake. Kilichowashangaza watu wengi ni kuona Mlinzi huyo ambaye pia ni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nani ni mlinzi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Habari wanajamvi? Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja ya msingi. Kwa muda sasa KATIBA YA JMT imekuwa ikivunjwa na wana Siasa kadiri wanavyo penda bila kujali viapo vyao. Swali ninalo jiuliza ni kwamba ni nani hasa ni mlizi wa KATIBA yetu? Binafsi nimeshuhudia Rais Magufuli akivunja KATIBA mara...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

    Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua Sababu ya mauaji hayo bado...
  8. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mlinzi wa mstari wa Buccaneers, Shaquil Barrett, Binti yake Arrayah Barrett wa miaka 2 azama kwenye bwawa

    Arrayah Barrett, binti mwenye umri wa miaka 2 wa mlinda mstari wa Tampa Bay Buccaneers Shaquil Barrett, alikufa maji Jumapili asubuhi kwenye kidimbwi cha kuogelea cha familia hiyo, kulingana na Polisi wa Tampa. Maafisa waliitikia wito kuhusu mtoto kuanguka kwenye kidimbwi siku ya Jumapili...
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

    Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana. Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye...
  10. 2019

    JamiiForums Tanzania Kuna uhalali wa kulipa hela ya sungusungu ilhali una mlinzi binafsi?

    Hii bado sijaelewa ningependa kupata au kujua ukweli, ukiwa kwenye biashara mitaani ni lazma ulipe hela ya ulinzi shirikishi hata kama kuna mlinzi kwenye fremu zenu? Hii ni nchi ya aina gani na tunapelekana wapi? Naombeni kujua ukweli.
  11. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Haya ndugu zangu wapambanaji. Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja. Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kapaki basi, kaamua kuwa mlinzi zaidi ya mshambuliaji

    Baada ya kuondolewa zuio haramu la mikutano ya kisiasa, alichokifanya Mbowe katika ufunguzi kwa kumsifia Rais Samia badala ya kujikita katika hoja za kushambulia ni mkakati wa kisiasa wa aina yake. Ukitizama vizuri baada ya mkutano wa kwanza wa CHADEMA Mwanza, MATAGA ndilo kundi linaloonekana...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

    Mlinzi wa kampuni ya Suma JKT, Osea Kashiririka (21) amefariki dunia baada ya kujipiga risasi sehemu ya shingo kwa kutumia bunduki. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Issango amesema tukio hilo limetokea leo Jumatatu Novemba 28 majira ya saa 5:30 asubuhi maeneo ya Benki ya Azania jengo...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waliojenga kibanda cha Mlinzi kwa Tsh. Milini 11 wafikishwa Mahakamani

    Watumishi hao ni Dkt. Zakayo Kyomo ambaye ni Kaimu Mkuu wa chuo cha VETA, Projestus Kabyemela (Mhasibu), Waziri Shaban Waziri (Mgavi) na Upendo Aidan Nindi (Afisa Ununuzi). Watumishi hao wanashitakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mamlaka kinyume na kifungu cha 31 cha Sheria ya Uhujumu Uchumi sura ya...
  16. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea mtoto wa kumzaa mimi afanye kosa halafu nishindwe kumuadhibu

    Niwapongeze wanaume wa Kanda ya ziwa ama hakika Mungu alituumba vilivyo na kutubaliki. Sina maana vidume wa mikoa mingine ni Walegevu ila kiukweli mwanaume wa Kanda ya ziwa hawezi fananishwa na mikoa mingine. Najua mtanisi ila kwetu sisi ni jambo la aibu kubwa sana mtoto wangu niliyemzalisha...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Shabiby mlinzi wa shamba la bibi anayehangaishwa na ngedere

    Nimekuwa mfuatiliaji wa michango ya huyu mheshimiwa shabiby kule bungeni, nimefurahishwa na namna anavyotetea rasilimali za taifa dhidi ya uhuni uliopachikwa jina la kufungua milango. Mwanzoni nilijua huyu jamaa ni mchuuzi na mpiga deal wa mjini, aisee kumbe sikujua kuwa ni mtu makini na...
Back
Top Bottom