mlimani

Mlimani is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Uhamisho Mkundi Mlimani Sekondari - Morogoro lazima uchangie kiti na meza

    Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei mwanafunzi ambaye anakaa chini. Sasa, je hicho kiti na meza akimaliza kidato cha nne anaondoka nacho...
  2. Pdidy

    Benki ya NBC ina mhudumu mmoja pamoja na kuwa na foleni

    Hivi mmekosa wafanyakazi?? Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea? Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa. Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
  3. L

    GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  4. B

    Hotuba ya karne ya Humphrey Polepole iliyowainua watu Mlimani City 2014

    Toka maktaba: November 26, 2014 Mlimani City, Dar es Salaam Hotuba ya karne ya Humphrey Herson Polepole iliyowainua watu Mlimani city 2014 Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani - City 2014 kinachoishi jana, leo na hadi kesho Amb. Humphrey H. Polepole...
  5. Komeo Lachuma

    " Kama Mohammed hatoweza kwenda Mlimani, Mlima huenda kwa Mohammed. Ukrain yalipua Kambi kubwa ya kijeshi ya Urusi.

    And the vice versa is true "If the mountain won't go to Mohammed, then Mohammed must go to the mountain"
  6. LIKUD

    Naenda Mlimani City kuchukua " Royal Jelly" ( Maziwa ya nyuki) na Uyoga Mwekundu...

    Maisha ya mwanadamu ni mazuri sana but only if you believe on " Likud's philosophy of life". If you actually want to be happy in this world, then your life should move in the direction of Likud's philosophy of life. Maisha nini? According to me " Maisha ni mazuri sana ". Tumeumbwa duniani...
  7. A

    KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  8. Tech Max

    Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo

    Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo Naishi mkoa wa Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  9. chiembe

    Dar es salaam ina kumbi nzuri za gharama rahisi, kwa nini chadema wanakodi Mlimani City wenye gharama ya mamia ya mamilioni?

    Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City. Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
  10. The Palm Beach

    Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  11. Just Pray

    Dkt. Slaa yupo Mlimani City akishiriki maadhimisho ya BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa naye yumo leo Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa na Baraza la Wanawake wa chama hicho katika ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  13. GENTAMYCINE

    Kuna nini mpaka sasa hatuna rasmi Matokeo ya mwisho kutoka Mlimani City?

    Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
  14. M

    Nani kawaleta hawa Wavuta Bangi hapa Mlimani City kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

    Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka...
  15. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Wabaya wetu wanatamani CHADEMA itoke Mlimani city ikiwa imesambaratika

    Akizungumza leo Januari 20, 2025 katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu Mbowe amesema “kila mmoja wetu katika ukumbi huu waliofika Dar Es Salaam na watakaoendelea kuja Dar Es Salaam wote tuje tumenuia mamoja kwamba tutatoka hapa tukiwa imara pamoja(Stonger together)” Siku ambayo dunia...
  16. sonofobia

    PreGE2025 Wana-CHADEMA tujitokeze Mlimani City kulinda kura

    Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda. Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura. Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka. Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu...
  17. M

    NMB MLIMANI CITY WAMESITISHA HUDUMA LEO BILA TAARIFA/MAELEKEZO. WATEJA WANAPATA SHIDA HAPA.

    Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
  18. Mindyou

    PreGE2025 Tundu Lissu: Nilisikia wanasema Msigwa amenilipia ukumbi wa Mlimani City. Maneno ya Msigwa ni ya bure na ya uongo kabisa!

    Wakuu, Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya Uneyekiti CHADEMA, Lissu amezungumzia tetesi za kwamba Peter Msigwa ambaye kwa sasa ametimkia CCM...
  19. chiembe

    Lissu ametoa wapi mamia ya mamilioni kugharamia mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa kifahari wa Mlimani City?

    Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
  20. Roving Journalist

    Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

Back
Top Bottom