1. Mlango wa mbele ni mkubwa
2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali
3. Sometimes nafikiria milango ya chuma, ile steel security door. Ina show nzuri sana, Lakini vipi kutu na...