Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali, Jacob John Mkunda amefunga rasmi mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22 yaliyofanyika katika Viwanja vya Kambi ya Jeshi Oljoro-Arusha, katika sherehe hizo zilizofanyika siku ya tarehe 30, Septemba 2022 jumla ya Askari 2457 walihitimu mafunzo yao yalioendesha...