mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia kwenye nchi walizopo. Amesema ni vema balozi hizo zikaanzisha majukwaa ya kiuchumi yatakayowakutanisha...
  3. JamiiForums Tanzania Simba SC kama mnamleta Kocha Mkuu Mbrazil Roberto Oliviera nashauri yafuatayo na myazingatie kiumakini

    1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta. 2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola. 3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na asiingiliwe kamwe. 4. Matola apelekwe Timu ya Vijana Simba B akahangaike nayo huko. 5...
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Mkuu okoa wananchi wa Dodoma jiji D Center Makole. Wanadhulimiwa haki yao, wapewa fidia eneo ambalo kumbe mali ya MSD medeli AC Block 157

    Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Godfrey Nyange Kaburu kwanini amekatwa katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa Dhambi hizi Mbili Kisheria angetufaa?

    1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba. 2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa...
  6. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango, mvua zinazonyesha zisije kuwasahaulisha utekelezaji wa makubaliano na Wahariri ili kusalimisha uharibifu kwenye Mto Ruaha Mkuu

    Saalamu, Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa. Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh mpango taarifa za kiuchunguzi juu ya chanzo cha mto ruaha mkuu kukauka kwani mpaka siku wanafanya kile...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mkuu Le Mutuz tajiri wa roho

    Mkuu, Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho tu. Lemutuz ni mtu poa sana inshort ni Tajiri wa roho ila dunia ilivyo mti wenye matunda hupigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Burkina Faso yamtaka Mkuu wa UN kuondoka mara moja

    Serikali ya Kijeshi ya Nchi hiyo imemtaja kiongozi huyo wa Umoja wa Mataifa, Barbara Manzi kuwa ni mtu ambaye hatakiwi kubaki Nchini humo Waziri wa Mambo ya Nje, Olivia Rouamba amesema tamko la UN la hivi karibuni kuwa machafuko yanayotarajia kutokea Burkina Faso yanasababishwa na udini...
  9. JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano na ujenzi wa Airport Terminal Mwanza, Mkuu wa Mkoa afadhaishwa

    Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa. Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi". Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Sokoine ndio Waziri Mkuu anayeenziwa kuliko wote Tanzania?

    Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama, 1. Uwanja wa sokoine mbeya 2. Sokoine University of agriculture 3. Sokoine road Arusha/Dar es salaam 4. Sokoine secondary 5. Sokoine regional refferal hospital lindi 6. kituo cha afya sokoine...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani ni nani? Nina barua yake

    Wakuu heshima kwenu! Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia. Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
  12. JamiiForums Tanzania AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

    ~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati? ~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022. ~ Crane za mizengwe za January? ~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania? ~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi...
  13. JamiiForums Tanzania Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe siyo kila mwalimu atapewa kishkwambi kama alivyosema Waziri Mkuu!

    Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu, Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu, "kila mwalimu apate kishikwambi, idadi ya walimu tunaijua na idadi ya vishikwambi tunaijua!" Kumbe bhana ni kama Ile kauli ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Songwe bado yuko kazini?

    Merhaba! Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
  16. JamiiForums Tanzania Ungekuwa Waziri Mkuu na kukuta watu wamejaa ujinga namna hii ungewafanyaje?

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa Barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa halmashauri hiyo. Watumishi ambao ameagiza wahamie kwenye nyumba hizo ni Afisa Usalama wa Wilaya (DSO), Kamanda...
  17. JamiiForums Tanzania Force Account inawamaliza mabosi wa Serikali, Waziri Mkuu anashuhudia madudu ya kutisha

    Siye wajuvi wa masuala ya ujenzi tulionya na kuonya, tukaambiwa tunatetea ulaji wetu. Kuna wawakilishi wetu tuliwatuma hadi Bungeni kupinga Force Accout , lakini walibezwa kuwa makandarasi ni mafisadi wa fedhe za umma. Sasa kazi nyingi zilifanywa kwa spidi kubwa kwa kumtumia fundi Maiko. Madudu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

    Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960. Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii? Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31. HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI? Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO TRC, mtanitafuta kwa uchochezi au Mkurugenzi Mkuu Kadogosa utanishukuru mimi na JF? Treni imefungwa kwa waya!

    Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani. Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho. Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo...
  20. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri Waziri Mkuu Majaliwa

    Nimeridhishwa jinsi Waziri Mkuu Majaliwa anavyo simamia watendaji serikali ili wawe mstari unaoeleweka. Kizuri ni mtu kuchukuliwa hatua pale pale bila kupepesa macho wala kuremba. Wateule wa vyeo vya kati, maDC, maDED, CEO mashirika ya Umma wengine wao ni wapigaji kwa kwenda mbele. NB...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…