mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Rishi Sunak: Waziri Mkuu tajiri kuliko Mfalme Charles III

    Waziri Mkuu mpya wa 79 wa Uingereza, Rishi Sunak ametajwa kuwa na utajiri kuliko wa Mfalme Charles III. Sunak na mkewe, Akshata Murty wanaelezwa kuwa na utajiri wa Pauni 730 milioni, ambao ni mara mbili ya utajiri wa Mfalme Charles III wa Pauni 370 milioni. Utajiri wa Sunak umeelezwa umetokana...
  2. Hongera Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza

    Hongera Mhe. Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza na karibu tena Afrika Mashariki. 🇹🇿 #africa #tanztrust #tanzania #eastafrica
  3. L

    Mkutano mkuu wa 20 wa CPC una umaalum gani kwa dunia?

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si kama tu yataekeleza maendeleo ya China katika kipindi kichacho, bali pia yatanufaisha dunia nzima...
  4. Waziri Mkuu wa UK adumisha tamaduni kabla ya kuingia ofisini

    Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya. The new UK PM performing his spiritual/traditional...
  5. Rais wa Afrika ya Kati amfuta kazi Jaji Mkuu aliyekataa kubadili Katiba kuruhusu agombee muhula wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
  6. SI KWELI Yanga Sc yaachana na Kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi, leo Oktoba 25, 2022

    Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa kwenye mitandao ya kijamii. Mpaka kufikia saa saba mchana Uongozi wa Yanga, umeendelea kuwa kimya na...
  7. Rais Samia, Mteue ACP Theopista Mallya awe Mkuu wa Trafiki Nchini, asante kwa kumteua Kaganda

    Salaam Wakuu, Rais Samia ameonesha Ushujaa ukomavu mkubwa na Ushujaa wa nguvu, kumteua Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kutokana na ajali kuongezeka barabarani, ni muda mwafaka rais kumchukua Mkuu wa Polisi Mkoa wa Rukwa Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  8. Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

    YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI. Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke Anaandika Jemedari Saidi Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote. Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa...
  9. Waziri Mkuu wa Uingereza ndiye mwenye nguvu zaidi kuzidi Mfalme/Malkia

    Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa na legislative power Mfalme yupo zaidi kama figure head lakini real power ipo kwa Waziri Mkuu.
  10. Rasmi: Rishi Sunak Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

    Rishi Sunak, (42) ameshinda Kura za Uongozi wa Chama cha Conservative na atakuwa Mhindu wa kwanza na Mtu wa kwanza ‘wa rangi’ kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak anakuwa Kiongozi mwenye Umri Mdogo zaidi kushika Wadhifa huo kwa zaidi ya Miaka 200 na Waziri Mkuu wa 3 wa Nchi hiyo Ndani ya Miezi...
  11. Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

    Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980. Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960. Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa...
  12. S

    Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika. Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
  13. Boris Johnson arejea London, atajwa kuwania tena Uwaziri Mkuu

    Boris aliyekuwa mapumzikoni Visiwa vya Caribbean ameungwa mkono wa Wabunge wa Conservative, atahitaji kupata kura 100 za Wabunge hao ili aweze kuchuana na Rishi Sunak na Penny Mordaunt. Mchakato wa kumpata Waziri Mkuu mpya utachukua Wiki 1 huku Wagombea 3 wakitakiwa kupitia mchujo Oktoba 24...
  14. Prof. Tumaini Joseph Nagu ateuliwa Kuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Florens Martin Turuka bosi mpya DART

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Amemteua Bi. Beng’i Mazana Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa. Bi. Beng'i ni...
  15. M

    Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

    Wakuu, Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi! Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi! Jamani hivi ni yeye ana enjoy pia kama ilivyokuwa kwa Mwenda zake, maana kwa yule alivyokuwa akipenda kuongea...
  16. P

    Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022 Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na...
  17. Tanga: Mkuu wa Mkoa awasimamisha kazi watumishi 4 Halmashauri ya Muheza, ubadhirifu na utendaji mbovu vyatajwa

    Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari). Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
  18. Imekaaje Waziri Mkuu kumkaripia Daktari kwa ujenzi hafifu wa Hospitali?

    Kwanza nitangulie kusema kuwa sina chuki waka hila na mh. Waziri Mkuu Majaliwa. Waziri mkuu ndiye msimamizi wa shughuli ZOTE za kiserikali nchini. Hata hivyo hili nililolisikia kwenye vyombo vya habari ndiyo vinaelezea ukakasi wa siasa tunazojiwekea zisivyoendana na kanuni na utaratibu wa...
  19. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

    MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI. Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba yupo hapo kwenye uongozi siyo kwa nia ya kusaidia wananchi anaowaongoza bali ni kwa ajili ya kujilinda...
  20. Mkuu wa CDC Afrika abaguliwa na wazungu pamoja na kujifanya anawapenda sana

    Ni Dk Ogwell. Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika. Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na Visa na matokeo yake ameishia kujibaraguza kuisifia Afrika kwa utu wake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…