mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
  2. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Hezbollah auawa na jeshi la Israel

    Awahishwa kwa mabikira... The IDF on Tuesday announced it had assassinated a senior Hezbollah commander for the Lebanon coastal region, equivalent to the rank of an Israeli brigade commander. According to the IDF, Ismail Yusef Baz had served for decades with Hezbollah in a variety of posts...
  3. JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha: Igeuze Arusha kuwa ndo "Financial Centre" ya Tanzania na iwe mfano wa mikoa ingine na tafuta washauri maalum

    Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo. Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli katika zoezi la usaili lakini tumeona "potential" ndani yako, fahamu kuwa bado waonekana una uwezo...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  5. F

    JamiiForums Tanzania ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

    Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge. Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
  6. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Dk. Nchimbi: Wanaoanguka ( Wanaotoswa ) CCM waache Nongwa

    Nchimbi najua hapa hili Dongo unampiga nani, ila nakujua Wewe ni 'Mafia' hivyo hamtamchekea huyo mjinga. Taarifa hii iko katika Gazeti la Leo (Jumapili tarehe 14 Aprili, 2024 ) la Nipashe katika ukurasa wake wa Pili. Kaisomeni Ok?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

    Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

    Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
  9. JamiiForums Tanzania CPA Anthony Mzee Kasore Ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu VETA

  10. R

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wanaweza kumwambia Rais ukweli pale anapotoa maamuzi yasiyo sahihi?

    Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais na Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu chini ya utawala wa Hayati Magufuli. Wakati huo mengi yalifanyika na hakuna siku wawili hawa waliwahi kupinga. Baada ya Rais Samia kuingia amepingana kwa kiasi kikubwa na mtangulizi wake. Amepingana naye kuhusu uwepo wa mikutano...
  11. JamiiForums Tanzania Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

    Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi...... Jamaa anakula maisha tu, kayapatia... ====================== Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri kushindwa na Hamas

    Allahu Akbar. Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas. Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa...
  13. JamiiForums Tanzania Geita: Mkuu wa Wilaya ashangaa Zahanati ya Tsh. Milioni 100 kutokamilika tangu 2019

    Mkuu wa Wilaya ya Geita Hashimu Komba amesikitishwa na kitendo cha ujenzi wa Zahanati iliyopo Kata ya Kasamwa Wilayani humo kutokukamilika toka mwaka mwaka 2019 huku hadi sasa shilingi milioni 100 zikiwa zimeshatumika kwenye ujenzi wake. Akiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kasamwa, DC...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Rufiji: Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aipongeza MSD kwa uwajibikaji na kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za Afya

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa. Senyamule...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda? Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else? Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
  18. JamiiForums Tanzania Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, Mbunge, Mganga Mkuu, Afsa Ardhi, RPC)

    Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu. Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC). Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki. Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini. Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi...
  19. JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
  20. JamiiForums Tanzania Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

    Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…