mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

    Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono. Baadhi ya watu wanaamini...
  2. PreGE2025 Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb)

    Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) "Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa "Waziri...
  3. Serikali ya Guinea yamteua Kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu mpya

    Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
  4. W

    Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki

    Wafahamu Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) alifariki Februari 17, 2021 akiwa na umri wa Miaka 77 baada ya kupata Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona. Dkt. John...
  5. B

    Jaji mkuu Prof. Ibrahim Juma: Majaji mzingatie mizani ya haki, msiyumbishwe na mitazamo ya watu baada ya hukumu kusomwa

    26 February 2024 PROF. JUMA - HAKI SIO USHINDI, BALI NI USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI UKAWEKWA KATIKA MIZANI https://m.youtube.com/watch?v=STdxA1gIJ7c Video courtesy of millard ayo Na Mary Gwera, Mahakama-Arusha Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Majaji Wafawidhi wa...
  6. Waziri mkuu Palestina awasilisha Barua ya kujiuzulu. Ataja sababu ni vifo ukanda wa Gaza na vita visivyoisha

    Upepo kuhusiana na Palestina unazidi kushika kasi dunia nzima. Leo Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtieh amewasilisha barua kwa Rais Mahmoud Abbas akiomba kujiuzulu. Sababu alizozitaja kuhusu uamuzi wake huo ni yale anayoyashuhudia kwenye ukanda wa Gaza na maeneo yote ya ukingo wa...
  7. Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa Mkandarasi Kukamilisha Daraja la Mtoa Ruaha Mkuu - Kilombero

    BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU - KILOMBERO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara...
  8. Shajara Yangu Mpambano wa Maalim na Komando Uchaguzi Mkuu Zanzibar 1995

    SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995 Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964. Niko Zanzibar na fikra zangu zimerejea nyuma juma la mwisho mwezi October 1995 kuelekea siku ya kupiga...
  9. Mkuu wa Programu JamiiForums: Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani, tuuthamini

    Mkuu wa Programu JamiiForums, Ziada Seukindo amesema taasisi za serikali zinaruhusiwa kutumia mtandao wa JamiiForums kwa sababu ni Jukwaa la mtandao kama majukwaa ya mitandao ya kijamii mengine duniani. “Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani tuuthamini, baadhi...
  10. Rais wa Senegal asema ataondoka Ikulu Aprili 2, 2024 licha ya kuahirisha Uchaguzi Mkuu

    SENEGAL: Rais Macky Sall ametangaza kuwa Mamlaka yake ya Uongozi katika Taifa hilo yatakoma rasmi Aprili 2, 2024 ingawa hajaweka wazi juu ya tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu. Pia, katika taarifa yake, Rais Sall hajaweka wazi nani atakuwa Kiongozi wa Nchi kwa muda wote unaosalia hadi kufika...
  11. Mkuu wa mkoa Chalamila umekuwa mchekeshaji

    Sija bahatika kuwa maeneo ya kwako ukishika nyazifa za mikoa kama mkuu wa mkoa. Ila kuna muda umekuwa stand up comedy kuliko uongozi yako. Mtu ukishakuwa kwenye steji ya kuwaongoza watu sio kila mda unatoa meneno ambayo utafakari maana mda wote watu wanataka kukusikiliza na hatma yao. Ili...
  12. Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

    Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo...
  13. Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

    Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam. Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao. Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
  14. Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. James P. Mataragio, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mataragio anachukua nafasi ya Athumani Selemani Mbuttuka ambaye Uteuzi wake Umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine Kabla ya Uteuzi huu, Dkt. Mataragio aliwahi kuwa...
  15. Afrika Kusini kufanya Uchaguzi Mkuu Mei 29, 2024

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa Tume kwaajili ya kujadili utekelezaji wa Uchaguzi. Wachambuzi wa Siasa wameonya kuwa Chama Tawala...
  16. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati tembelea line ya umeme Mbeya - Chunya, makongorosi kms 150

    Maswali ya msingi katika kutembelea line hiyo: 1. Umeme nguzo zimeoza na zingine zimeinama na kulala huko msituni ikitokea Mbeya kwenda Chunya. 2. Umeme umesafirishwa zaidi ya kms 150 kutoka Mbeya hadi makongosi KVA 11 bila sub station. 3. Bado uko ziarani Mbeya bado mgao uko hawakuongopi...
  17. Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo na Kagera Sukari

    Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo Hali ya upatikanaji wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni tete, baada ya kiwanda cha Kagera kukataa kumuuzia Sukari msambazi mkuu kampuni ya V.H SHAH. Inaelezwa Msambazi wa sukari kanda ya ziwa amenyimwa sukari na kiwanda hicho...
  18. Lowassa asingepata hata Uwaziri Mkuu Kama si Jakaya Kikwete kumbeba

    Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu. Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa? Wanamtambua Lowasa...
  19. Senegal: Rais Macky Sall atangaza kuharakisha Uchaguzi Mkuu baada ya kuambiwa ahirisho lake ni kinyume na Katiba

    SENEGAL: Rais Macky Sall ameeleza kuwa anakubaliana na maamuzi ya Baraza la Katiba lililotupilia mbali tangazo la kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu ambao awali ulipangwa kufanyika Februari 25, 2025 Uamuzi wa kuahirisha Uchaguzi na Bunge kupitisha azimio hilo, umeibua vurugu na maandamano nchini...
  20. Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

    Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…