mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  2. M

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
  3. VIDEO :Huyu Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora aliyeingilia Mamlaka isiyomuhusu na kuhamisha walimu kwa LAZIMA, ana akili timamu!??

    Ualimu.. Ualimu ..Ualimu...😞😞😞 Ifike mwisho. Hizi ni aibu. Na huu ni UPUMBAVU. I'LL BE BACK
  4. MKUU WA WILAYA YA HANDENI, ALBART MSANDO AGAWA MITUNGI 300 YA TAIFA GAS KWA WANANCHI WAKE HANDENI

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  5. Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano Mkuu wa 29

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (watatu...
  6. K

    Hongera sana Mhashamu baba Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa jubilee yako ya miaka 25 ya Uaskofu

    Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu. Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza...
  7. PreGE2025 Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

    Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
  8. K

    Kero ya wananchi mbele ya Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu Makonda

    Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria...
  9. L

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa ashiriki Tulia Marathon Mkoani Mbeya, watu wamiminika na kufurika kwa wingi

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka chini ya udhamini wa Tulia Trust iliyo chini ya Mheshimiwa Speaker wa bunge la jamuhuri ya muungano wa...
  10. Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Mkoa wa Tanga Kura Zote Tutamchagua SAMIA SULUHU HASSAN

    MHE. KWAGILWA NHAMANILO: UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 MKOA WA TANGA KURA ZOTE TUTAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN "Nitoe shukurani za pekee sana kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Handeni Mjini tumekuwa na mradi mkubwa mara ya mwisho mwaka 1974, miaka 50 imepita Handeni Mjini hatujuwahi kuwa na...
  11. Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba. Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
  12. M

    RC Makonda tunaomba msaada Tanfom Arusha wamejaza udongo kwenye barabara Moshono-Losirway

    Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa. Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
  13. Katibu mkuu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar azindua mtandao wa Tshrmnet

    KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
  14. Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
  15. PreGE2025 Tusitegemee wingi wa watu kwenye mikutano Uchaguzi Mkuu ujao

    Kutokana na hali ya ukuaji wa matumizi makubwa ya mitandao habari zimekuwa zinafika kwa wakati. Hali hii mpaka tufike Uchaguzi Mkuu sidhani kama nyomi zile tulizoziona chaguzi zilizopita zitaweza kuamua nani anakubalika au nani hakubaliki. Hii nimetoa kama angalizo kwa wale jamaa wakijani...
  16. Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao

    Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao
  17. U

    UTEUZI Meja Jenerali Fatima Ahemed ateuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Anga Kenya

    Wadau hamjamboni nyote? Meja Jenerali Fatima Ahemed Amekuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa kuwa Mkuu wa vikosi vya Jeshi la Anga Kenya Taarifa kamili hapo chini === Kenya's President William Ruto has appointed the first female commander of the air force. Maj Gen Fatuma Gaiti Ahmed becomes the...
  18. U

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel Wadau hamjamboni nyote? Uteuzi wa Maofisa wakuu wa Jeshi la Israel Jeshi la Israel IDF limefanya uteuzi mpya kwa kumteua Jenerali shlomi Binder kuongoza idara ya ujasusi ya Jeshi la nchi hiyo akichukua...
  19. Balozi wa Marekani nchini Tanzania asema anafurahishwa na washiriki wa Stories of Change kwa uandishi wao

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanayohitimishwa leo Mei 3, 2024. Maadhimisho hayo yanayofanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre yanngozwa na...
  20. N

    Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…