MKUU WA WILAYA YA HANDENI, ALBART MSANDO AGAWA MITUNGI 300 YA TAIFA GAS KWA WANANCHI WAKE HANDENI

Blasio Kachuchu

Senior Member
Sep 7, 2016
199
130

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Kiongozi wa Wakina Mama Wajasiliamali Wilaya ya Handeni, Mwajabu Mhina wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Mama lishe, Bahati Shahiri wa Soko kuu la Handeni wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Afisa Tarafa wa kwa Msisi, Lugaila Ngwabi wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Afisa Tarafa wa Mzundu, Elizabeth Mponda wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa Maduka, Nanzighe Nyambera.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(katikati) akikata utepe kama ishaar ya uzinduzi wa Duka la Taifa Gas Wilayani Handeni wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando azungumza na baadhi ya wakazi wa Handeni mjini(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.
WhatsApp%20Image%202024-05-16%20at%2018.16.37%20(1).jpeg

Wakazi wa Wilaya ya Handeni wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(hayupo pichani) ) wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.

Meneja mahusiano wa Taifa Gas, Angela Bhoke azungumza na baadhi ya wakazi wa Handeni mjini(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.
Mkuu wa Wilaya akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakazi wa handeni waliopata mitungi ya Taifa Gas bure. Jumla ya mitungi 200 imegawiwa bure kwa wakazi wa handeni mjini.

Wakina Mama Lishe wa Soko Kuu la Wilaya ya Handeni Mjini wakifurahia Majiko ya Taifa Gas mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni , Wakili Albart Msando. Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas. Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mjini wakikabidhiwa mitungi ya Taifa Ges bure kwa utaratibu maalum ulivyopangwa.
 
Rushwa ya uchaguzi imeanza mapema dereva akiwa Rostum, hivi Taifa Gas inawezaje kufanyabiashara kwa kugawa bure mitungi ya gesi na kulipa kodi ya mapato TRA!
 
Wamefungua duka handeni, wameona wafanye kitu kuwaambia wananchi tupo hapa kwa kuwapa mitungi bure ili wakimaliza hiyo gas waje kubadili

Ni ubunifu tu! Kama tigo wanavyotoa mb za bure kila mwezi nk

Ni ubunifu katika biashara na sio uchawi
 
Handeni si ya kwanza kupewa mitungi ya Taifa Gas, pia hafla hiyo ni ya wanaccm kama inavyonekana, si ya kibiashara kama unavyodhani.
 
Sasa hao maafisa tarafa na wengineo wenye uwezo wamepewa mitungi ya nini, hao wana uwezo wa kununua au tayari wanayo majumbani mwao
 
Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama mzigo wa kuni na kuhifandhi mazingira kwa kutumia nishati safi ya Taifa Gas.Katikati kulia ni Maneja mahusiuano wa Taifa Gas, Angela Bhoke na Maneja Mauzo wa
Kumtua mama mzigo wa Kuni nikumpatia kila mtu mtungi wa gesi. Je anampango wakuwapa hao akinamama mitungi ya gesi?
Uchawa upungue
 
Hili ndilo tatizo la akili ndogo kuongoza akili kubwa
Hauwezi kumtua mama mzigo wa kuni kwa kugawa mitungi ya gesi hii kampeni imefeli mapema sana
Wanachofanya ni kumpa Rosti Tamu dili la kuuza gesi na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom